Jana wakati nipo kituoni sehemu flani mida ya jioni nasubiria usafiri nielekee nyumbani akatokea mrembo mmoja matata sana na alikua amesimama kama umbali wa mita kumi na tano kutoka niliposimama...
Thanks God kwa kutupa nguvu ya kusaka chapaa cha muhimu ni uhai tu maana vingine vinatafutwa. Kaushauri kadogo kwa wenzangu tusiokula mpaka tubebe mizigo, tuchimbe mitaro na wale wote wanaofanya...
NASHANGA bia yenyewe moja lakini asubuhi na wewe unakimbilia mchemsho wa nini? Paaaambeeee shoga, usione simba kaloa na mvua ukasema chui, inahu? Heheeeee heeeiyaaaaa!
Shoga wanakwambia raha ya...
Kuna sehemu nilikuwa nasikiliza mawaidha toka kutoka kwa mtu mzima mmoja wa makamu alikuwa akituwasa kama vijana kuhusu wanawake ......
Ametuambia tunatakiwa tumuogope sana mwanamke ambae...
pipooo mamboz,
Unaambiwa kuishi mjini kuona mengi mpaka najiuliza kwa nini nilichelewa kuja mjini? Mungu sio konkii master wala mange kimambi, siku ya jana , vitu nilivyo zoea kuona kwenye TV...
Wanawake waliozaliwa kati ya mwaka 1920 hadi 1980 wanajua Kutunza ' Mazingira ' yao ' yanayowazunguka ' kuliko wale waliozaliwa kati ya mwaka 1981 hadi mwaka 2005 ambao inasemekana ya kwamba...
Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu...
Hello guys
Kwamfano ww mdada umeolewa au una boyfriend wako, hlf ukagundua kuwa mumeo/boyfriend alikuwa na tabia/au bado ana tabia ya kwenda kununua changudoa wanaojipanga barabarani kama wa...
Nimekuwa katika harakati za kuhakikisha nakuwa na mwanamke ambaye ni wa kiwango fulani cha maisha; yaani awe na sura na shepu ya kueleweka...anavaa na kuonekana vizuri pia mwenye kausafiri kake...
HABARI WAKUU, nina ndugu yangu anatafuta kazi ya udereva daladala, umri miaka 25, ana uzoefu miaka 2. elimu yake DARASA LA SABA.. Leseni yake ina madaraja A, B , C1,C2,C3,D,E.
0623 314180...
Hiki ninachokisema siyo cha kusikia wala kuambiwa ni uzoefu wa mara nyingi isiyo na idadi jinsi wanawake walivyo waongo tena wa kiwango cha lami natamani nikutane na shetani nimwulize hivi siku...
Habari za mida wadau!! Mimi ni kijana umri miaka 28!! Mchaga!! Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mama watoto wangu!! Awe ameajiriwa, awe ana aidia ya kufanya biashara!! Asiwe mrefu sana awe...
Wataalamu habari zenu,
Kwanza kabisa mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu flani cha afya hapa mchini, kwa wasiofahamu ni kuwa ukimaliza masomo ya shahada ya baadhi ya kozi za afya huwa...
Heshima kwenu wakuu,
Nipo kwenye ndoa takribani miaka 3, Mwanamke huyu amekuwa akipenda kuhudhuria shughuli sana( harusi,kitchen party,ngoma,nk)...zinazopelekea karibu kila baada ya wiki...
Ni kitu gani cha kishamba umewahi kukifanya kwenye maisha yako...?? Baadae uligundua umezingua? (Ushamba ni namna ya kujaribu kufanya kitu kigeni usicho na uelewa nacho)
Binafsi nimewahi kutumwa...
Kwenye calendar ilisomeka tarehe
19st November 2015.. Mishale ya saa ilionyesha ni saa sita kasoro 9 usiku... Kwenye ukumbi wa rock city mall kulikuwa kuna shamra shamra za kipekee usiku ule ...
Kamati Maalumu ya Kuwalinda Wanahabari Duniani (CPJ) imemwandikia barua Rais wa Tanzania John Magufuli kueleza kushtushwa kwao na vitendo walivyofanyiwa wafanyakazi wa timu yake ya programu ya...