Kwa ajili ya wasaka tonge wenzangu

Kwa ajili ya wasaka tonge wenzangu

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,199
Reaction score
14,383
Thanks God kwa kutupa nguvu ya kusaka chapaa cha muhimu ni uhai tu maana vingine vinatafutwa. Kaushauri kadogo kwa wenzangu tusiokula mpaka tubebe mizigo, tuchimbe mitaro na wale wote wanaofanya kazi ngumu ukweli ni kwamba kazi zetu hazina guarantee kadri siku zinavyoenda miili na afya zetu zinazidi kuchoka so ushauri wangu ni kwamba tunachokipata tukitumie kwa usahihi na ikiwezekana tujiwekee akiba ili tuweze kufungua hata kabiashara kadogo maana hatujui kesho yetu na tukifanyach Leo kina impact baadae. Nimefanya research japo sio official nikagundua kwamba Hakuna mtafutaji aliyefanikiwa kwa kuendekeza starehe
 
Wazo zuri,anza na kidogo kama kufungua grosari wanywaji wapo wengi tu;hizo nguvu unazotumia ipo siku zitaisha
 
Back
Top Bottom