Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Rasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa No sex, No masturbation, No porn. Here we go. Picha haihusiani na uzi
13 Reactions
210 Replies
7K Views
Wakuu, leo nimeamka na nyuzi za mambo yangu binafsi yanayonisibu. Wakuu mimi na mke wangu ndoa yetu ina miaka kadhaa, ipo hivi huyu mwanamke tunajuana nae na tulikua marafiki tokea tukiwa...
13 Reactions
119 Replies
6K Views
Hiki ni kisa chenye mafundisho makubwa sana kwetu sisi wanaume Kuna rafiki yangu mmoja hivi alikuwa na mkewe mzuri tu na mungu aliwajalia watoto na kipato chao kilikuwa cha kati Sasa kama...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna manzi nilikua na mazoea nae,sasa leo nimemtest kumuomba k,na yeye karidhia kuniuzia. Kataa ndoa wana haki ya kuponda ndoa kwa hali hii.
14 Reactions
71 Replies
5K Views
Fumanizi ni two way traffic linamuumiza aliyefumania na aliyefumaniwa tulia nikupe mkasa wa kufumaniwa na mke wa mtu mama Vanesa sio jina halisi. Toka nimeanza kujitegemea maisha hayajawi kuwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana Jf i hope mko salama kabisa na poleni kwa harakati za kila siku za utafutaji.. Wanaume wezangu hebu tuweke kambi kidogo kwenye uzi huu.. Hivi mchepuko unampa pesa,gari...
3 Reactions
11 Replies
767 Views
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd . Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?. Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu...
27 Reactions
204 Replies
5K Views
Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha...
3 Reactions
14 Replies
986 Views
Miaka ya nyuma muda wa kampeni ukifika kwangu ndio ulikuwa muda mzuri mno wa kula vidosho wa kila namna. Nilikuwa nasafiri na misafara ya wagombea ubunge sehemu mbalimbali na ifikapo usiku,aiseee...
1 Reactions
4 Replies
462 Views
kwenu wana jf;habarini za mchana kwa waliomchana ;tumejitahidi kuona na kusaidia jinsi mtu anavotakiwa kuishi baada ya ndoa;tumeona watu wengi wanavyofanya sherehe ya harusi kubwaa ama ya kawaida...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Salute comrades. Acha nisemee upande wa wanaume wenzangu kuhusu hili suala la mtu kuwa na hii tabia ya kukupigia pigia simu na kutumia message kila wakati baada ya nyinyi kubadilishiana...
14 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu Nipeni miongozo na location za pisi Kali.
7 Reactions
56 Replies
8K Views
Wakuu, Kuna mambo ni ya aibu na ni ngumu kuyasema kwa mtu yeyote ndani ya familia au jamii yako inayokuzunguka kumhusu mkeo au mume wako! Mambo hayo ya siri au ya aibu mara nyingi hubaki kwa...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Ndugu. Kataa ndoa kuna namna kama wameshinda hii vita pamoja na ile vita ya single maza. Huko duniani kila nikiangaza huku na huko sioni tena pear pear zikiongozana na kwenye maboma huko kusikia...
1 Reactions
2 Replies
391 Views
Wanaume wenzangu! Kila mwanamke ana wanaume watatu katika maisha yake. Hii ndiyo hali halisi ya uchungu wa mahusiano ya kisasa: kila mwanamke ana wanaume watatu katika mzunguko wake. Nafasi...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama mnavyojua Sekta ya Mapenzi ndio sekta tukufu kupita zote.. experience matter more.. Kuna Class mate wangu wa sekondari tulikutana chuo japo yeye alienda Advance mimi sikwenda, Alinikuta...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana ndugu Habari za muda huu, naombeni ushauri wenu wakati kama huu naona mtanisaidia kwa mawazo pia Na Mpenzi wangu tulipendana sana na penzi letu sasa hivi lina kama miaka 4 Na kama hakuna...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
NA KAMA UNAMCHEAT NA UNATUMIA CDM NYOOSHA MKONO PIA
2 Reactions
6 Replies
347 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…