Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je umeoa au umeolewa ukiwa na umri gani!? Mambo yakoje ss ndani ya ndoa yako?!! Je! ni umri/wakati gani sahihi wa kuoa au kuolewa!?!........ Unajutia au unajipongeza kwa hatua hyo!?? Nawasilisha...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
1.Njombe UKIMWI sio kitu cha ajabu. 2. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. 3. Manyara usipoua simba we shoga. 4. Mara mke akiwa hapigwi anaomba talaka. 5. Mwanza mtoto mchanga wa siku...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mwenye uhakika wa hii inshu aje anipe proof hapa kweli ukifa unaenda kupata mabikra 70? Maana nina Usongo nao kinyamaaaa.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Story pembeni nimestaafu rasmi kuandika story, turudi kwenye HARD TALK. LIVE STRAIGHT TALK. Kuondoka kidogo Single...
52 Reactions
181 Replies
17K Views
Hello guys, Msinielewe vibaya, sina nia ya kuwa marioo, kutunzwa na mwanamke, wala ku-date mijimama..ila kwa hii hali ya sasa, hawa wadada maskini wanani-cost na hii mizinga yao, halafu...
27 Reactions
180 Replies
14K Views
Salaam, moja kwa moja kwenye point nahitaji mwanamke mwenye umri 30 - 60 kwa ajili ya uhusiano wanawake wenye umri chini ya hapo nyie mko vizuri na mnapendeza ila kwa muktadha wa hitaji langu nyie...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Heshima yenu waungwana, Katika kupitia thread mbalimbali humu jukwaani nimegundua kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu umekuwa tatizo kubwa miongoni mwa jamii...
16 Reactions
226 Replies
20K Views
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu, salaam! Katika jamii zetu nyingi za Kiafrika ndoa (kuona na kuolewa) na kupata watoto ni mambo yanayochukuliwa kwa uzito mkubwa sana. Jamii humtegemea kila mmoja kutokana na hali yake...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu,asanteni kwa wanaoendelea kuniombea, Biashara yetu imefungwa kuanzia leo,mpaka hapo haki itakapotendeka, Jasho la mtu hailiwi kirahisi hivyo. Note: hakuna udungu,wala urafiki kwenye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MAJUKUMU YA MKE JUKUMU KUBWA LA MKE NI KUMPA UTULIVU MUME... YAANI KUMTULIZA MUME KUTOKANA NA YALE MAMBO AMBAYO YALIKUWA YAKIMSHUGHULISHA... MKE NI UTULIVU WA MUME MKE NI STAREHE YA MUME MKE NI...
1 Reactions
4 Replies
915 Views
Kabla ya kuwa mpenzi wako/Mme/Mke wako ulimchukuliaje ulipomuona ile siku ya kwanza? Binafsi wife 2 be wangu nilimuona wa kawaida tu na kwa sababu nilishatoka kuumizwa ile siku ya kwanza kumuona...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari wakuu... Nadhani kila mmoja anajua kuwa ujana una mambo mengi, na mara nyingi tunapitia mapito ya aina tofauti tofauti. Ni hivi miaka kama 10 iliyopita nilizama mapenzini na binti mmoja...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
MAJUKUMU YA MKE JUKUMU KUBWA LA MKE NI KUMPA UTULIVU MUME... YAANI KUMTULIZA MUME KUTOKANA NA YALE MAMBO AMBAYO YALIKUWA YAKIMSHUGHULISHA... MKE NI UTULIVU WA MUME MKE NI STAREHE YA MUME MKE NI...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
MAJUKUMU YA MKE JUKUMU KUBWA LA MKE NI KUMPA UTULIVU MUME... YAANI KUMTULIZA MUME KUTOKANA NA YALE MAMBO AMBAYO YALIKUWA YAKIMSHUGHULISHA... MKE NI UTULIVU WA MUME MKE NI STAREHE YA MUME MKE NI...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Mu hali gani? Samahani naomba kuuliza kama mtu umeolewa na unaishi ukweni, halafu hapo ukweni ni familia kubwa yuko mama mkwe na mawifi kama 5 hivi.. Namna bora ya mke ambaye ni mama wa nyumbani...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Ushajua unaepambana nae.. Binafsi sipendi ujinga na ukiniletea upuuzi dakika tano nyingi. Sipendi kufuatilia vitu vya kipuuzi mara chache utanikuta nafatilia muvi au naangalia tv. Sina familia...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…