Hii mada ni nzito sana, inaumiza lakini pia ni ukweli mchungu wa maisha. Watu wengi walio na moyo safi, wenye upendo, waliojitolea, wanajikuta wameumizwa, wamedharauliwa na kusahaulika huku wale...
Natumaini mkopoa
Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi
Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba...
Vijana wa kizazi chetu wanaishi maisha ya mkanganyiko. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kwamba tusome kwa bidii, tufikie ndoto kubwa, tutengeneze maisha bora kuliko ya wazazi wetu. Lakini sasa...
Huyu ni member wa zamani humu Jf nimemmiss tu bhana hajaonekana hili ni jukwaa la mapenzi ,mahusiano na urafiki,kwahiyo siyo vibaya kumtag member ambaye humsomi na unamwelewa.
C.C Husninyo
Viol
#MsasaUnusual
Akata Umeme Kijiji Kizima Kisa Simu Ya Mpenzi Inatumika (Busy)....
Katika tukio la kushangaza, mwanaume mmoja nchini India alikata umeme wa kijiji kizima baada ya simu ya mpenzi...
Mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter,
amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe..
Girls:
Kama huna akili- hujasoma na huna kazi,
Kama ni mvivu na sio mbunifu,
Mpenda dezo na huwezi...
Wanawake wengi siku hizi wametuingiza kwenye changamoto kubwa sana wanaume wa siku hizi.Tumekuwa tukihangaishwa sana maneno yao ambayo yanatopelekea kujiona wanyonge mbele yako Bro ukikutana na...
1 Pet 3:7 SUV
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe...
Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko
Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi
Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba...
Ndugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.
Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?
Hii sio...
Rwanda 🇷🇼 imekuwa moja ya nchi chache barani Afrika kuruhusu rasmi surogacy baada ya Bunge kupitisha sheria mpya. Surogacy ni mchakato ambapo mwanamke hubeba mimba kwa niaba ya mtu mwingine au...
Duniani kuna "social programming" inaendelea, kupitia mitandao ya kijamii na Kampuni kubwa za Uwekezaji kama Hollywood. Social programming hiyo inalenga kubadilisha dhana nzima ya mahusiano na...
Wakuu turee kwenye kichwa tajwa hapo juu.
Niliwahi kuandika uzi humu jukwaani kuhusu kuwa na program ya kudhibiti genye, Kwa kukaa mda mrefu bila kuzagamua. Lakini nasikitika kusema nimeshindwa...
Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Historia ya chupi ya bikini
Bikini ni aina ya vazi la kuogelea (swimsuit) au nguo ya ndani yenye vipande viwili – juu (bra/top) na chini (panty).
Mwanzo wake:
Enzi za kale: Wazo la bikini si...
Sijui ni kwaupande wangu tu, au ni kawaida. Katika uzoefu wangu wa kutongoza, nimegundua kua wanawake wanene nikama wanangoja tu waambiwe nawao wakubali.
Hiikitu ni tofauti kabisa kwa wanawake...
Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.
Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.
Mbona wanawake miaka ya 2000 down...
Wanabodi, Mke anauma jamani.
Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana...