Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia...
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu...
Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea...
Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi
Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya...
Kwa sasa ukiona una mpenzi au wapenzi wengi inabidi kuangalia mtaji gani uliopo nao.
Wengi wanaweza kusema pesa ila pesa nayo ni sehemu kubwa ya mtaji kwenye mapenzi.
Mitaji ya penzi iliyopo...
Habarini
Mke wangu ati alikuwa hajui kupika biriani vizuri hadi nkamwambia aende kwa Aunt yangu anaitwa Salma ili ajifunze kupika, kwasababu siye wote tunapenda Biriani hata yeye mwenyewe ila...
Happy Uhuru Day to you guys
Nimewamiss
Nawapenda
Kwani mlienda wapi
Aliyenimiss akoment aneni miss aje
Mje YouTube sasa mnione maana mmetamani sana kuniona live
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke...
Habari wana JF Kuna ishu siipendi lakin pia nina mashaka nayo kwa dada wa kazi nyumbani kwangu.
Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu...
Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi...
Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni
Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa...
NINI WANAWAKE HUMAANISHA WANAPOSEMA WANAHITAJI "REAL MAN" [ MWANAUME WA KWELI ]?
Hii sio kauli ngeni kwa wanawake kusema wanahitaji "real man", huwa unawaelewa? Real man kwa wanawake haimaanishi...
Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima
Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka...