Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari. Kwa wale mliokimbia Civics, blended family ni aina ya familia ambapo mwanaume ambaye ana watoto wake aliopata na mwanamke mwingine anaingia katika ndoa na mwanamke ambaye na yeye anakuja...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wapendwa, Ilikuwa mida ya jioni narudi zangu nyumbani kutoka mihangaikoni, Ile sasa ndiyo tumefika Makumbusho, nikawa nataka kushuka ili nipande daladala nyingine inayoelekea huko duniani...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Kiasili, kati ya mwanamke na mwanaume mmoja wapo akipenda na kuamua kumpata yule alie mpenda, kwa mwanamke ni rahis sana kumpata mwanaume alie mpenda. Kwahiyo tukiwa ndani ya mahusiano, mwanaume...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa...
4 Reactions
41 Replies
7K Views
Mahusiano yeyote yanapoanzishwa lengo kuu huwa ni kuishi pamoja hapo badae kama mke na mume mkiwa katika ndoa. Sasa kama mnavyojua maisha ya siku hizi katika mahusiano huwa yana changamoto nyingi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu ndani ya mjengo nawasalimu. Niwasilishe kwa ukumbusho kidogo hususani kwa wale tayari walioko kwenye Ndoa. Mkeo au mmeo uliyenae mpaka Sasa ulimpata katika mazingara yapi? Jamii yetu ya...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Siongezi neno wala kupunguza. Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine. Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Dear opinion makers, I want to bring this to your attention for a thoughtful discussion. Mwanahamisi (Mishy Singano) has outspoken a very controversial statement which cannot just be left...
5 Reactions
75 Replies
8K Views
HII VITA hutokea pale umeenda guest na mchepuko alafu unamkuta mkeo nae yupo na mchepuko!! mnaamua kugawana majukumu! we unapambana na mwizi wako.. mkeo nae anapambana na mwizi wake USIOMBE MPIGWE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, kuvaa nguo zangu mimi napenda sana kuvaa T shirts sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu. Nilihisi...
42 Reactions
218 Replies
26K Views
Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke. Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza. Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani...
3 Reactions
68 Replies
50K Views
Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo. Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na...
21 Reactions
50 Replies
8K Views
  • Closed
Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa...
13 Reactions
166 Replies
32K Views
Yaan Heb ngoja kwanza. Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda... Haijalishi wa kiume au wa...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza. Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi? pia soma: Kwanini mke wako akikuta...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!! Na asilimia...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wana JF. Leo kidogo ningependa kupata ufahamu na kutoa utata juu ya neno NGUVU ZA KIUME. Mara nyingi nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali, media na jamii kwa ujumla juu ya nguvu za kiume...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka? Wadau hebu tujadili hapo tuone...
3 Reactions
94 Replies
11K Views
Wana great thinkers Kuna ushauri tafadhali unahitajika. Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…