Hivi ni mimi mwenyewe au na nyie wanaume wenzangu inawatokea?

Pinkman

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
707
1,538
Wakuu kwema?
Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, kuvaa nguo zangu mimi napenda sana kuvaa T shirts sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu.

Nilihisi labda anapenda tshirts hivyo tulienda shopping na alichagua anazozpenda yeye nikamnunulia Lakini pia kama haikutosha na zile alizokuwa ameshazivaa niliacha kuzivaa kwa sababu anazivaa na mimi nikija kuzivaa kifuani aiseeh sijui zinakaaje, na mtaani pia huwa anapita nazo.Kuepusha tabu nikazimwachia.

Lakini hiyo tabia haijafa yaani ikafika mahali nikamwambia lakini wapi? Wakati mwingine anavaa analala nazo kabisa yaani.
Sasa juzi nilikuja na tshirt ambayo ni sare ya office kwenye event, daah kurudi nyumbani jana yaani nakuta ameshaivaa kabla hata ya event yenyewe.

Nikimuuliza anadai anapenda tuu leo nimeamua kununua mashati ya kutosha na kuamua kuagana na tishirt rasmi.Naona jioni hii ameamia kwenye masweta yangu.

Siyo kwamba sipendi avae nguo zangu shida ni moja anazitanua kifuani na wakati mwingine anashindia au kulala nazo kabisa, hapo bado boxer.

Wakuu wa busara mliopo kwenye ndoa hii mmeshakutana nayo huwa mnalidhibiti vipi?
 
Wakuu kwema?
Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, KUVAA NGUO ZANGU.
Mimi napenda sana kuvaa T shirts. Sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu,
nilihisi labda anapenda tshirts hivyo tulienda shopping na alichagua anazozpenda yeye nikamnunulia. Lakini pia kama haikutosha na zile alizokuwa ameshazivaa niliacha kuzivaa kwa sababu anazivaa na mimi nikija kuzivaa kifuani aiseeh sijui zinakaaje, na mtaani pia huwa anapita nazo.Kuepusha tabu nikazimwachia.
Lakini hiyo tabia haijafa yaani ikafika mahali nikamwambia lakini wapi? Wakati mwingine anavaa analala nazo kabisa yaani.
Sasa juzi nilikuja na tshirt ambayo ni sare ya office kwenye event, daah kurudi nyumbani jana yaani nakuta ameshaivaa kabla hata ya event yenyewe.
Nikimuuliza anadai anapenda tuu. Leo nimeamua kununua mashati ya kutosha na kuamua kuagana na tishirt rasmi.Naona jioni hii ameamia kwenye masweta yangu.
Siyo kwamba sipendi avae nguo zangu shida ni moja anazitanua kifuani na wakati mwingine anashindia au kulala nazo kabisa, hapo bado boxer.
Wakuu wa busara mliopo kwenye ndoa hii mmeshakutana nayo???
Huwa mnalidhibiti vipi?

nimechekaa,labda anamahaba ya t-shirt zako japo nae kazidi za ofisin anavaaje kushindia bila utaratibu,,,,,ebu umwambie tena na tena na kumpa sababu ya kwann hutaki avae ataacha taratibu
 
Wakuu kwema?
Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, KUVAA NGUO ZANGU.
Mimi napenda sana kuvaa T shirts. Sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu,
nilihisi labda anapenda tshirts hivyo tulienda shopping na alichagua anazozpenda yeye nikamnunulia. Lakini pia kama haikutosha na zile alizokuwa ameshazivaa niliacha kuzivaa kwa sababu anazivaa na mimi nikija kuzivaa kifuani aiseeh sijui zinakaaje, na mtaani pia huwa anapita nazo.Kuepusha tabu nikazimwachia.
Lakini hiyo tabia haijafa yaani ikafika mahali nikamwambia lakini wapi? Wakati mwingine anavaa analala nazo kabisa yaani.
Sasa juzi nilikuja na tshirt ambayo ni sare ya office kwenye event, daah kurudi nyumbani jana yaani nakuta ameshaivaa kabla hata ya event yenyewe.
Nikimuuliza anadai anapenda tuu. Leo nimeamua kununua mashati ya kutosha na kuamua kuagana na tishirt rasmi.Naona jioni hii ameamia kwenye masweta yangu.
Siyo kwamba sipendi avae nguo zangu shida ni moja anazitanua kifuani na wakati mwingine anashindia au kulala nazo kabisa, hapo bado boxer.
Wakuu wa busara mliopo kwenye ndoa hii mmeshakutana nayo???
Huwa mnalidhibiti vipi?
Huyo mwanamke atakuwa mama wa nyimbani!! Kina jamaa yangi nae mke wake alikuwa na tabia hiyo hadi kuna siku akamtia vibao ndo akaacha. Hafu inaudhi sana avizivaa matiti yanatanua kifuani zinakuwa shapeless
 
sasandgu angu unataka avae za nani. kama unajua anapenda kuvaa t shirt zako uwe na wew una mnu nulia
kwa upande wangu huo pia ni upendo kwani wanawake wengine wanapenda kuvaa nguo za waume zao
sema tumia hekima kwa kumwambia zipi avae na zipi sio za kuvaa.
kwani akivaa means kupenda sana pia
 
Back
Top Bottom