Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Numerous lovely larger measured models are additionally awe-inspiring. Ladies with bends ought to be glad whether they are a size 2 or size 20. The business sees that all ladies are or ought to be...
0 Reactions
2 Replies
701 Views
1. Timing in life is everything. 2. The two most powerful warriors are patience and time. 3. know that to love yourself is the beginning of a life long romance 4. Being single is definitely...
1 Reactions
0 Replies
586 Views
Kumekua na malalamiko mengi kwenye jamii za kitanzania na kiafrika kwa ujumla mara watoto wanapokua na kuanza kujitegemea na umri wa wazazi kusogea, wototo huwa wanakua karibu na mama zao zaidi ya...
10 Reactions
94 Replies
8K Views
Sasa baba mchungaji unauaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hongereni kwa majukumu ya siku...... muda wa Ajigijigiiiiiiiiii umewadia tuwahi majumbani πŸ˜†πŸ˜† πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto. Tutumieni nafasi hii kuwala...
4 Reactions
8 Replies
835 Views
Unajua kwasisi ambao tunazurura usiku weekend huwa tunakutana na warembo aina mbalimbali..so unajikuta unachkua namba.na hawakatai kutoa namba..mim sikumbuk mara ya mwisho nimenyimwa namba lini...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Achana ni tozo za miamala, tutazoea tu ndugu zangu. Ila kwa hili, nimeshindwa kabisa kuzoea. Labda kama ni tatizo mnisaidie, au kama siko peke yangu basi nifarijike. Imekuwa ni muda mrefu sasa...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Iko hivi mzaz mwenzangu ambae tuliishi kwa mda ikitokea mfarakano akapata dume jingine tena bila kunitaarifu. Siku za mwanzo wa magusiano yake alinipiga block hata yakumuona mwanangu na hela...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kusema kweli kuna kitu nimekiona kutoka kwa hawa warembo, Yaan kams pisiKali inakupenda kwa dhati na hafanyi yale ya kuchepuka alafu wewe dume ukawa huishi kutomuamini yaaan wivu kwa sana mara...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kabla hatujajiuliza kama mapenzi ya kweli yapo inatupasa tujiulize na kufahamu neno "PENZI LA KWELI" ni nini? picha ambayo huwajia wengi vichwani mwao wanaposikia neno hili penzi la kweli huona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...! - Tatizo jingine la mdau wa JF. Habarini wana jamvi, Jamani naomba msaada wa...
0 Reactions
406 Replies
408K Views
Miaka 11 iliyo pita July 16 kuamkia july17 Nilimpoteza dada angu kipenzi RITHA Sio kua sikuwai kushuhudia msiba hapanaa......... Uli ishi Miaka 24 tuu....ndio kwanza ulikua umeanza Kazi ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu natumain nyote ni wazima wa afya kuna jambo nmeona kushare na nyie kwa faida yetu sote Wiki hii katika pitapita zangu katika mtandao wa tinder bhas nikakutana na mwanadada mmoja kwa...
11 Reactions
108 Replies
14K Views
.
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Watu wengi katika maisha wamekuwa wakilaumu upande mwingine iwe mke wake au mume wake kwamba ndiye sababu ya kuvunjika kwa uhusiano au ndoa yao. hakuna jambo muhimu maishani mwako kama huo uamuzi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
πŸ–ŠοΈ Huu si udhaifu wa kiume? WANAUME wengi wanapenda kuoa wanawake wanaowazidi sana umri. Ni nadra kukutana na mwanaume aliyezidiwa umri na mke wake. Kama hiyo haitoshi, wanaume wengi wanapenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika Safari yangu ya mapenzi/mahusiano enzi hizo ,sifa nyingine ya wanaume nilowahi kutoka nao kimapenzi ni wahaya.Niliwahi toka na wahaya watatu kwa nyakati tofauti hadi nikahisi nina mkosi na...
2 Reactions
36 Replies
19K Views
Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali. Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Ex boyfriend. Mademu wengi nilio wahi kupita nao halafu baadae wakaenda kuolewa walinitafuta baada ya miezi kadhaa na kuendelea kunipa tunda kama kawaida huku wakiwaponda sana waume zao na maisha...
47 Reactions
151 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…