Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya...
5 Reactions
28 Replies
674 Views
Hii scenario ngumu sana ambayo inanifanya nihisi nimelogwa kwa sababu sielewi haya mapenzi yamerudi vipi. Iko hivi; niliwahi kuwa mapenzini na mwanamke fulani nikiwa nasoma kwa muda wa mwaka...
15 Reactions
148 Replies
3K Views
Mimi sioni Maana mapenzi n hela sku izi Bila mtonyo unatemwa anaenda kwa mwingine
3 Reactions
6 Replies
186 Views
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakaz serikalini na mimi ni mke wa ndoa tuna watoto wawili
16 Reactions
625 Replies
30K Views
Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
1 Reactions
37 Replies
754 Views
Sijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha...
31 Reactions
175 Replies
2K Views
kijana funga zipu, Binti funga mapaja then sikilizia hio energy utakayo kuwa nayo after a period of time labda 20,30,40,50,60days na kuendelea. unakuwa Reborn upya
23 Reactions
169 Replies
3K Views
Tunapozungumzia USALITI WA KIFEDHA (Financial Infidelity) kwenye mahusiano ama ndoa, hatuamanishi kumuibia mwenza wako pesa. Bali tunazungumxzia hali ya kutokuwa muwazi kwenye masuala ya kifedha...
2 Reactions
3 Replies
230 Views
Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Mexico, Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kwa jina la El Mencho, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kujeruhiwa na risasi katika operesheni ya kijeshi...
11 Reactions
91 Replies
2K Views
Wanawachuna kishenzi ila mbususu wanawakazia kuwapa. Kikao kianze hapa tuwape mbinu wanaume wenzetu wa mtwara tuwakomboe kwenye huu ufezuli
3 Reactions
18 Replies
416 Views
1: If your woman is more proud of you than your parents are, check your direction you might be building applause, not character. 2: When one person celebrates you loudly but those who raised you...
3 Reactions
4 Replies
321 Views
Pia biblia imeandika Mungu aliwasamehe makahaba. Ila lilipokuja swala la kuchagua Mama wa mwanae alimchagua mwanamke bikira anaitwa Maria. Hakuchagua used
25 Reactions
114 Replies
4K Views
Yaah, ni yale mambo yetu yale ya engine kiuno service cum kimoja cha fasta. Sasa nilisema, nyakati hizi za kufunga, sitafanya zinaa. Waapi, bwana! Ndani ya masaa 72 ya mfungo, nikakutana na...
5 Reactions
33 Replies
656 Views
UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu)...
6 Reactions
12 Replies
329 Views
Miaka mingi iliyopita, huyu mzee alifanya maamuzi ya kiume kinoma. Alimchukua binti mdogo aliyekuwa anahitaji hifadhi na kumpokea kama mwanaye wa kumzaa. Kipindi hicho binti akiwa mdogo, mzee...
13 Reactions
28 Replies
584 Views
Habari wana MMU kaswali kangu kadogo kwa wale tuliojaaliwa watoto hasa ambao bado ni under 3. Ni sahihi kujiachia mbele ya mtoto hasa ukiwa umetoka kuoga. Mfano mwanangu ana miaka2 yeye...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu nilikuwa nae hapa kijijini kwa sasa yupo Dar,anapenda sana wanawake,hasa mabinti.. yaani akipita binti lazima amzungumzie na amfate akamtongoze,kwenye simu yake amejaza picha za...
10 Reactions
92 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…