Hali imekuwa si shwari baada ya Selina kumkimbia mume wake waliyedumu nae kwenye ndoa miaka 10. Mr Rogers alikuwa ni mfanyabiashara hapo Kariakoo kisha kumuachia mke wake duka aendelee kulisimamia...
Inachanganya sana maana wanawake wengine wanasema size sio ishu maana raha ipo juu na cha msingi mtu ajue kutumia dudu.
Wengine wanasema size kubwa ndio kila kitu. Huku wakiponda wnanaume wenye...
Siku hizi Ke wakimalizana na Me wanategemea kupewa pesa, yaani wakitoka Lodge Ke anasubiri kupewa "kifuta jasho", kwa nini iwe hivyo?
Kawaida sikuwa na tabia hiyo, baada ya kumaliza tendo...
Salaaam kwenu wadau
Kama mada inavyojieleza
Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto
Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na...
Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo.
Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai...
Hadithi ya hii inatokana na maisha ya mwanamke asiyejua thamani yake na haki zake.
Imagine mpaka Leo kuna wanawake wanaishi maisha ya mateso. Mwanamke ameachana na mume wake na kila mtu anaishi...
Najua hakuna aliyezaliwa peke ake kwenye hii dunia yenye kila aina ya watu. Tunakutana na wakorofi, wapole, wasumbufu, wacheshi, wakimya na hata wauaji. Kila uzuri na ubaya upo kila sehemu ya hii...
Women are not obligated to give every guy a chance. Just because a lot of men are so desperate that they'll take everything that has boobs doesn't mean women have to be like that too. Women don't...
Kama mada inavyojieleza
Nimefanya kautafiti kadogo toka mwaka Jana kupitia mademu zangu tofauti tofauti na karibia wote warembo
Ila mpaka sasa nimebaki na wawili tu na hawa wamekua wakinipa...
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma.
Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana...
Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana.
Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka...
Naamini kuna uzima kwa wana jamii.
Je ni sahihi wazazi wa binti/mwanamke kudai kuwa mwanaume aliempa mimba aende kujitambulisha hata kama hana mpango wa kuoa?
Au ni mbinu ya kulazimisha binti...
Sio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio
Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba, magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea...
Salaam,
Naomba kufahamishwa.
Kwa wale polygamists mnapangaje ratiba za kushiriki ndoa na wenzi wenu? Je, ladha huwa ipoje kwa kila mke? Mnawezaje kuzuia ule wivu wa asili baina ya wake zenu...
Enzi hizo ndo najifunza kufukuzia mademu, wakati ule nikuwapa sikio Sana masela walionitangulia katika swala hilo Ila nilijikuta kila Demu ninayemtaka walisema hutomuweza Mara yule kicheche...
Ndugu zangu,
Maisha hayajawahi kuwa fair hata kidogo, coz dunia nayo haipo fair kwetu. Wapo wenzetu kwa tofauti hii ya usawa, wamezaliwa na kukuta mambo yapo vizuri kuanzia kuvaa, kula, kulala na...
Kwanini unakuta baadhi ya wadada tunahasira sana sio wavumiliaji,? Tunawasiwasi wa kuachwa na kuattact wapenzi wetu tukihisi kwamba wanachepuka au kutuacha?
Hivi tatizo nini??
Kuna mwanamke, nilihitaji kumuoa tukakubaliana afya tukapima tuko fresh nikiwa ktk harakati za kutoa mahari nikatonywa alishawahi kuolewa na amezalishwa watoto watatu, Sasa hapo kichwa kinaniuma...
Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo.
Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa...