Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Hili ni tatizo kubwa sana ila wanaume wengi wamekuwa waoga kuweka wazi, unamkuta jamaa ni pande la jitu lakini room anaenda mwezi hapewi show, kuyaweka mambo haya wazi ni kitu ambacho kwa tamaduni...
Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo...
Nakumbuka nipo darasa la saba nikawa nimempenda binti nikaandika barua ya kumtongoza, then nikampa mdogo wake ampelekee dada yake, kilichofuata barua ikafika kwa wazazi wake
Nikaitwa na kusemwa...
Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo...
Kwenye hatua za makuzi ya mwanadamu kuna hatua mbalimbali hupitia kuanzia kutungwa kwa mimba mpaka kifo;
Utotoni
Ujanani
Utu uzima na
Hatimaye uzeeni
Kila hatua hapa huwa na mambo yake ambayo...
Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro
Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi
Leo nataka...
Mambo vp wakuu,
Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au...
Wakuu,
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu, cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.
Mke wangu akaanzishiwa ARV mara moja, kisha...
Salaam jamiiforum
Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si...
Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu.
Vigezo
Umri: miaka 21 hadi 26
Rangi: Mweupe
Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu
Elimu:Chuo kikuu
Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti...
Habari wana JF.
Kama una mke au mpenzi wako amewahi kukusariti na sasa amejifungua na bado hajakutana na mwanaume yeyote yule hebu msamehe haraka sana na muendelee na maisha kwani ameshakuwa mpya...
Wakuu!
Heri ya Siku yenu Wanawake wote wa hapa JF, nyie ni wa muhimu sana, tunawapenda❤️❤️❤️
Leo ni siku ya kusherehekea wanawake wote na yale wanayotufanyia kila siku kwa nguvu, upendo, na...
***SORY MADAM***(1)
AGE 18+
Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo mbali mbali kama mpira wa miguu na michezo mingine ambayo...
Marafiki wamekutenda huwaamini tena!
Mpenzi kakusaliti ila huwezi kumuacha.. Unakumbuka mengi mlikotoka na mlipo.. Changamoto mlizopitia na nyakati za furaha mlizomosiana
Inaumiza sana! Huna wa...
Ukiona videos zake anavyocheza na zile ndege za kivita hewani. Mashine inasimama yenyewe. Yaani huyu mtoto uki mbuzi kagoma. Una pump huku unaimba wimbo wa taifa, unamshukuru sana kwa uzalendo...
Maisha ya kijana ni safari ya kujitafuta.
Ni kipindi cha ndoto, nguvu, hamu, makosa, maumivu na maamuzi makubwa.
Wengi huingia hatua hii wakiwa na matarajio makubwa—lakini hukutana na uhalisia...