Uhali gani wanajamii. Nina mdogo wangu ana miaka 22 ameoa mwezi uliopita kiufupi walichukuana tu baada ya kupendana na mdada mmoja yupo mitaani Sasa ubaya nikwamba hana kazi yoyote yeye na mkewe...
Zamani soko la ngono lilikuwa likisimamiwa na wazee na jamii yote kwa ujumla. Ilikuwa vigumu sana kwa vijana kujiingiza kwenye mahusiano kabla ya ndoa kwa sababu jamii iliweka mipaka kwenye...
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.
Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya...
Habari zenu watanzania wenzangu hasa kwa wale ambao bado hamjaoa
Nimepata kitu nimeona ni bora kuchangia na nyie ambao mnatarajia kuoa siku za mbeleni.
Mambo yenyewe ni hayo hapo
Kwa nini...
Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥...
Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili.
Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini...
Kuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika.
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and...
Kwanza kutingisha makalio ni kitendo cha kuonyesha kipaji cha kucheza. Siku hizi ni rahisi kumuona hata mtoto wa miaka mitano akicheza kwa kukatika. Sababu zinazofanya dada zetu watutingishie...
Nilikuwa nasikiasikia tuu watu wakisema hivi vinywaji type ya "___ Energy" vinaongeza nguvu ya mwili na ashki ya mapenzi, pamoja na sifa zingine zingine ila nikawa siamini.
Kutokana na maneno...
Habri wakuu ..
Hapa naongea na vijana wenzangu umri kuanzia 18-28 maana ndio asilimia kubwa tumemaliza chuo ajira ni changamaoto na mapenzi ni pesa ..! Kwanza kabisa niwaambie kuwa kwa Dunia ya...
Inaskitisha na inahuzunisha,
Wakuu mko poa?
Naenda kwenye maada,: hapa jirani imezuka kelele ya kufa mtu ambapo naishi kuna mke wa rafikiangu ambae ni mke wa mwalim, mkewake katobw,,,, na mganga...
Wakuu haya ni maoni yangu binafsi baada ya kuangalia tabia za familia nyingi hasa za mjini.
Hivi karibuni kulitoka ripoti iliyoonyesha wingi wa ndoa zinavyovunjika Dar es Salaam.
Ukitazama...
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi...
Naam hapa nazungumzia ile hali ya kumtongoza Mwanamke kwa leo tu la kula kimasihara yaani hit&run!
Yaani hii kitu ni hatari mno maana unajikuta unamtongoza Mwanamke ambaye sio type yako kwa lengo...
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?
Kwanini...
Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen.
1. Kwanza wanajua...
Unajua Mungu sio mjinga au wendawazimu Kusema kuwa mwanaume na mwanamke hawako sawa.
Sasa sijui ni nani huyu mwenye ufahamu zaidi ya Mungu ambaye alisema mwanamke na mwanaume wote ni haki sawa...
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku...
Nina mademu zangu watatu sasa nikajaribu kuwaambia nataka kuwaoa nikatuma sms kwa kila mmoja sasa demu mmoja yeye kanijibu kwa jazba, nimeshangaa kuniambia namuingilia kwenye maisha yake'' kwa...