Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni juzi tulikuwako, kwa karamu yakufana Ikiwa bathdei yako, Da! Pati ya kuagana Ukanita Niko, niko, Ati hatuta achana Niseme si langu fungu, haujakubali mtima Siamini umeenda, hatutaonana tena...
12 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha? Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz...
28 Reactions
234 Replies
16K Views
A man I iwe nanyi wakuuuu Straight katika kutafakari hili swala LA wanawake wengi kulalamika kutelekezwa na waume zao baada ya kuzaa nao tena bila maelezo ya kina kwann wamefanyiwa unyama huo...
1 Reactions
85 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua...
30 Reactions
211 Replies
17K Views
Habari za jumamosi wana JF, kisa changu kipo hivi mtani kwangu ninapo ishi kuna familia ambao ni majirani zangu. Sasa hawa majirani kuna wadada ambao ni dada mtu ma mdogo mtu wote wanalipa tu ila...
1 Reactions
17 Replies
959 Views
Habari wadau !!! Leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki...
8 Reactions
267 Replies
23K Views
Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
1 Reactions
4 Replies
827 Views
Wanajamvi hali zenu. JF ni kimbilio letu hata kwa vitu vinavyoonekana vidogo, ili kujifunza kwa kuamini kuna wajuvi wengi. Hatujui kila kitu. Katika harakati za kiume, jana nilikwenda mitaa ya...
12 Reactions
75 Replies
7K Views
Nimeapa kubadili mfumo mzima wa maisha yangu, sitokaa nitake tena mazoea zoea na majirani wapuuzi tena. Nimeoana mazoea yanaleta kutoheshimiana. Nimegundua hili ukubwani na nakiri nimechelewa, ila...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point! Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Leo nimeshinda zangu geto maana hali ya hewa ilikuwa hairuhusu kutoka mida ya jioni, nadhani hapa wakazi wa mji wa Morogoro watakuwa wamenielewa. Basi kufika saa tatu usiku...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari MMU, Leo nimeona nije kuangazia upande huu wa wanawake, ambao wanaonekana kutoridhika kabisa na chochote wapatacho kutoka kwa wenzi wao. Mwanamke humfanyie chochote kile jua ipo siku...
14 Reactions
164 Replies
9K Views
Ndugu kwema naitaji mke mwenye kumtumain mungu na kumwabudu Niko dar nimeajiliwa na srk naitaji mwanamke mwajiliwa awe na uwelewa na umakin na akiwa ameajiliwa srkn ni vzr sana
3 Reactions
8 Replies
656 Views
Dear ex yoga My great love, I did not know how to value you... My only love, in all this time, since we've been apart, it's still hard for me to accept being apart from you. I woke up thinking...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Na Christian Bwaya Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
ENGLISH: JESUS FREAK SWAHILI: KITUKO WA YESU NA-DEDICATE STORI HII KWA WATU WOTE WANAOMPENDA MUNGU HUKU DUNIANI. SIKO HAPA KUKOSOA IMANI ZA WATU WALA DHEHEBU ZA WATU ILA KATIKA KIPINDI HIKI...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu wanaja JF, Natumaini nyinyi wazima wa afyaa, Mkasa wangu uko hivi. Mimi ni kijana, nina mahusiano na binti fulan nina mahusiano nae mwaka wa 3 tunaelekea. Mwaka 2020, wazazi...
3 Reactions
123 Replies
7K Views
Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye mausiano mwanamke huyo alikuwa ananipenda saana kwasababu ya uhuni wangu nilikuwa na shindwa kuheshimu hisia zake nikawa na mpa stress kila mara alikuwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimelete kwenu Uzi huu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo sina hata miezi miwili nimehitimu chuo. Nimekuja hapa kwa kaka yangu maeneo ya wilaya ya Kilosa huku kupumzika kidogo huku...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Niliwahi kukutana na Dada msabato mmoja aliyenisimulia jinsi alivyoichukia ndoa yake baada ya kukutana na mwanaume mmoja muislam.Alikiri kwamba alipata ridhiko kubwa la kingono na moyo ulitulia...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…