Basi bwana siku moja nikiwa Dom, simu ikaita, kuangalia hivi ni 'baby' wangu wa zamani ati anataka niende kumsalimia ati kanikumbuka, mara kakumbuka 'show' za kibabe pamoja na kunibania pua mradi...
Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa...
Moja kwa moja kwenye uzi.
Ile dhana ya kuwa wanaume ndiyo wanao endeleza ukoo na mwanamke anakuza ukoo wa kwa mwanamme bado ingali ipo au tulishavuka karne hizo?
Kuna umuhimu wa kuwa na watoto...
Maeneo mengi hali ya hewa imebadilika, kutoka kwenye kiangazi kuja kwenye msimu wa mvua. Sasa hii mvua inakuja na kabaridi hatari, naona baadhi wanajifunika kwa ngumi angalau kuikwepa hiyo baridi...
Wadau nafahamu watu wana mahitaji tofauti tofauti hapa. Nimeona kuna wadada/wanawake wenye uhitaji mtoto na huwa wanatafuta mtu mwenye muelekeo ili waweze kupata mtoto pamoja.
Sasa ipo hivi; Mimi...
Sifa zangu
Naitwa - S
Umri -29
Makazi - Dar
Elimu - Degree
Kazi - Nimeajiriwa na pia nimejiajiri
Dini - Mkristo(RC)
Rangi - Mweupe mrefu
Sifa za ninayemuhitaji
Dini yoyote kikubwa upendo
Awe...
Wasalaaaam wadau! Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kiukweli mimi najiona kabisa sasa nimefikia hatua mbaya sana maana imefika hatua nimekuwa addicted vibaya mno wa kuzama uvinza yaani raha...
Habari wakuu, (Brothers, Sisters, Baba na Mama mliomo humu)
Kama heading inavyosema hapo juu, Ni kwamba nilipopanga chumba nimejikuta mimi pekee ndiye sina mke, Ipo hivi;
Mimi ni kijana mwenye...
Wengi waliooa au walio kwenye mahusiano yenye milestones..Mara nyingi utawaskia wanasema Nilivyokutana nae tu nilihisi kitu kuhusu yeye n sikutumia nguvu yeyote nilijikuta nipo nae.???
Ebu tupe...
Hii kitu nimeiona hasa kwa wanaume ambao ni wakimya/wapole, mara nyingi huwa hawana bahati ya kupata wanawake wazuri, huwa wanawapata wale machakaramu ambao huwafanya kama wajinga. Japo jamaa huwa...
Na hili nalo likatazamwe kwa kina,
Kama ilivyo ada ya shida ya mgawo wa maji na umeme iliyoikumba mkoa wa Dar Es Salaam, wengine tumetumia kama fursa
Kuna mwanamke niliwahi kukutana naye njiani...
Sio wake za watu,sio ma single mama,sio wanafunzi wa chuo tu.Nowadays Kusagana kwa wanawake kumekuwa kama fashion. Unaweza ona mkeo ama demu wako hana nyege kumbe anasagwa na mwenzie. Imekuwa too...
Na hili nalo mkalijadili kwa kina.
Mchepuko wangu mpya, Fatuma, ninakutana naye barabarani kwa mara nyingine alfajiri. Hii ni mara yangu ya nne kukutana naye nikiwa ndani ya suruali nyeusi modo...
Wakuu hope mko fine.
Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja...
Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka
Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila...
Habari wakuu,
Iko hivi, katika kukua kwangu nilishuhudia wanawake kadhaa wakimgombania mwanaume mmoja, hata sasa wapo pia
Kinachonishangaza zaidi unakuta mtaani kuna jamaa kiwembe balaa na mtaa...
Nina mpenzi tuna mwaka mmoja katika mahusiano lakini ni mwaka mchungu, najuta sijui kwanini niliingia mazima kwake. Kila siku yeye anapenda kufanya vitu na mambo yanayonikera akiamini wasiwasi...
Habari zenu wandugu.
Niende moja kwa moja kwenye mada, jamani jambo hili linaniumiza sana kila nikifikiria nashindwa kuamini. Mimi ni ke, nimeishi na mwanaume takribani miaka saba, tumeishi kama...
Habari za asubuhi ndugu zangu wapendwa katika Bwana!
Basi bhana, jioni ya jana ikawasili, ka jua fulani hivi ka rangi ya machungwa kakatanda. Muda huo nina buku teni tu mfukoni
Si ndio kupanda...