Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu zangu. Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka. Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama...
26 Reactions
250 Replies
16K Views
Mahusiano yana raha zake na shida zake, ila kuna kitu cha kujifunza na kukiepuka mwanamke na mwanaume. Kila jinsia katika mapenzi huwa na mategemeo yake na hivyo ujipambanua pindi tu unapotongoza...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Wazima Inachukua muda gani kuanza kunyanduana mara tu baada ya mke kutoka kujifungua.? Leo ana siku ya 60 nimemuomba anagoma kunipa anadai hadi miezi sita nimemwambia ntachepuka.
9 Reactions
108 Replies
12K Views
Habari za wikiend wana Jf. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo. Umri -35 Nina mtoto 1 wa miaka 5 Nimeajiliwa serikalini Dini yangu mkristo Mahali ninapoishi kwa sasa...
15 Reactions
93 Replies
24K Views
Ndo maana mimi binafsi maswala ya kutambulishana kwa makabila huwa sipendi naona kama inakuwaga na ka utengano flani hivi na watu wengine.... Tuachane na hayo me nauliza tu hivi kabila letu sisi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni...
9 Reactions
73 Replies
9K Views
Wasalaam JF Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba. Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Iko hivi! Kwenye haya Maisha usiwahi kumwamini MTU hata siku Moja Imagine Doctor Mwaka kila siku anatuhubiria ana Dawa zinaongeza Nguvu za Kiume na sasa kaachwa
0 Reactions
3 Replies
407 Views
Watu wengi hasa nchi hii wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya nani mke mzuri wa kuoa. Zifuatazo ni baadhi ya sifa za jumla ambazo wana zipendekeza, awe msomi, asiwe anatoka familia yenye magonjwa...
0 Reactions
38 Replies
34K Views
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu? Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina miaka 28, nimemaliza advanced level, nina urefu(5' 3''), nina mwili wa kawaida, rangi yangu ni mweusi kidogo (sijui ndo maji kunde), nimejiajiri (-). MWANAMKE 1. Urefu anizidi kidogo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha. Muonekano wangu. Urefu- Mrefu Kiasi cm 173 Rangi- Mweusi. -Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida) Elimu yangu-...
13 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari wana jf, Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu. Awe na akili...
23 Reactions
155 Replies
8K Views
Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25. Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanawake wanaoridhika kwa kuchezewa kisimi je wanaweza ridhika kwa ule msuguano wakati wa tendo?
3 Reactions
107 Replies
30K Views
Natarajia Mungu akinijalia na mambo yakienda Sawa nategemea kuoa mwananke wa kisukuma kutokea kisesa Mwz . Nipo najichanga ili nipeleke mahali by mwezi wa nne hapo. Kwa appearance mtoto ni very...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆 Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani? Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Ashakum si matusi [emoji24] visa vyangu 1.)Wanangu leo nilikuwa natoka chuo Jioni ya saa 11 nikapishana na demu pisi kweli nikamfuata kumwomba namba alichonijibu " sipendi viadunge we mdogo kama...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Nikiri tu kwamba huu mchezo wa punyeto sio mzuri. Ndugu yangu analalamika kukosa usingizi siku ya Tatu leo hata akifanya kazi ngumu siku nzima Bado hapati usingizi. Anadai tatizo limeanza...
1 Reactions
6 Replies
576 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…