Wakuu, sijawahi kupitia unyonge, upweke na wasiwasi kama huu ninaopitia hivi sana.
Mpenzi wangu ni mwanachuo katika chuo mkoa X. Wanakatazwa kutumia simu. Huwa anatumia simu za walimu wake...
Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl.
Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa...
Habar za mda huu ndugu
Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo...
Nina hasira na huzuni kwa pamoja, naomba niende direct kwenye mada ....
Akitokea Kaole Secondary School alienda kusoma Dar es salaam School of Journalism (DSJ).
Mwamba akiwa mpambanaji, kama...
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake...
Mwanaume usijikite sana kwenye mapenzi, saka hela kwanza na kujiekeza. Usipoteze muda mwingi kutafuta mapenzi, utaumia, aliye na uwezo kuliko na atakunyang'anya demu...
Wapo wanaume wenzetu mamia kwa maelfu walishawahi kutapeliwa kwa kuaminishwa kuwa mchumba wake ni bikira.
Hawa ni wanaume ambao wengi wao Mkuu wa makuhani Natafuta Ajira huwaita NICE GUY au mimi...
Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.
Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana...
Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe.
Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka...
Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli...
Wakuu, kipindi kilichopita, tangu nijiunge humu kwenye jukwaa hili maarufu tanzania, nimekuwa nikiandika nyuzi ambazo kiukweli ukiziangalia kwa jicho la u great thinker unagundua kuwa nyuzi hizo...
Wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro ni hatari sana, yani suala la mwanaume kula mbata n jambo la kawaida na ukicheza unasukumiwa na ngumi.Yan wadada wakimachame na waogopa kama moto. Sijui wanaum...