Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Happy Women’s History Month! [emoji2272]WOMEN.[emoji68] WOMEN [emoji73] WOMEN Every woman who has walked with God has a story to tell you.[emoji126] [emoji3502] Sara will tell you: "Nothing is...
-2 Reactions
1 Replies
597 Views
Habari zenu... Kama unajua wewe ni mwanaume au mvulana na unatabia ya kusuka nywele za kichwani, kuvaa hereni, kutoboa pua, kuweka nywele blich jueni wazi kabisa hamfai kuoa kabisa au kuwa na...
-1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika Mabaharia wenzangu Mtanielewa poa. .....Wanawake wengi Wenye umri mkubwa 57 above ni Watamu Sana na wanajuha Sana Kuhandle tofauti Sana na Hivi Vinavyosema BABY NIAKUAMBIE kitu...
12 Reactions
203 Replies
29K Views
DeepPond Natumain u mwema bro. Kwanza ningependa kukupa hongera ya mafanikio yako katika jitihada zako za kiuchumi. Pia ningependa kukupa hongera kwa moyo wako mwepesi na uelewa. According to...
17 Reactions
64 Replies
6K Views
Ni muhimu kwa mwanamke kumjaribu mwanaume. Ni njia yao ya kujilinda na kujua ujasiri wa mwanaume. Mwanamke hupima ujasiri wa mwanaume mara kwa mara. Haijalishi we ni rafiki yake, mpenzi wake...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello totoz! Baada ya kimya kingi nimerudi kuwashika.
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari... Kwa wanawake wote, Kama unajua wewe upo kundi hili jua siku ya wanawake haikuhusu hivyo subiria kufa tuu au siku ya ukimwi duniani.. Wanawake wote walio toboa pua siku ya wanawake...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa. Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Itoshe kichwa Cha habari kutoa utanguli kamili. Baada ya kuyafuma manukato murua ktk miezi ya wagumu hii ikiwemo bingo la kuchoronga maneno Kwa kipaza sauti kwenye msiba wa don Mmoja wa kipande...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu. Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa...
8 Reactions
75 Replies
3K Views
Nimekaribishwa nyumba ya mdada mmoja Mkenya kwake hapa Nairobi. Yeye ni single na mrundikano wa vitu ndani ya chumba kimoja ni vingi. Sasa nataka kuchaji simu nakuta anachaji ni sichokijua kwa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwaka 2018 mwanzoni, aliajiriwa kwenye kampuni niliyokuwa nafanya kazi mimi. Na alifanya kazi chini yangu. Yaani mimi ndiye nilikuwa msimamizi wake wa kazi. Huyu dada alinivutia tuu ile siku ya...
15 Reactions
85 Replies
7K Views
Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji...
12 Reactions
68 Replies
8K Views
Amani iwe kwenu! Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini. Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanaume mnajiona kuhangaika kupata pisi Kali Kwa gharama yeyote ila kumbe mganga yeye hupewa mzigo kiulaini na pesa uliohonga wewe kirahisi so ndio maisha. Inabidi uzoeee Kaa Kwa kutulia. Unakuta...
4 Reactions
25 Replies
875 Views
Sikieni watu usitafute mtu ambaye Hana swagga zako Kama wewe ni Malaya hutulii oa kahaba ndio mtaelewana. Ukiwa handsome qute na unamadharau oa hivyo hivyoo mke mqute na mwenye madharau , . Oa...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Katika hekaheka za mapenzi kuna utamu na uchungu wake. Wanaoteseka sio wanaume tu bali wanawake nao sio mchezo. Licha ya nyuzi kama zile za kula tunda kimasihara. Kuna wakati unaweza kumwinda mtu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
π—¨π—π—¨π— π—•π—˜ π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—•π—œπ—‘π—§π—œ π—ͺπ—’π—§π—˜[emoji2960] Ukijaliwa kuwa π— π—¦π—œπ—–π—›π—”π—‘π—” mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜. Kuna wanaume hawasumbuliwi na 𝗨π—₯π—˜π— π—•π—’ wako kama unavyodhani, uzuri wako hausaidii...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…