Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binti yuko hapa mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila anajiuza. Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha, ili kanisani aendelee kuaminika. Huko kanisani...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Niliachana na mwanamke mmoja kwa miaka miwili, two weeks ago tumerudiana but home kumebadilika sana. Mlango umetanuka, zamani nilikuwa napita kiupande upande kwa kujibana, sasa waaaaah, ndani...
36 Reactions
283 Replies
13K Views
Hello wanajamii, kuna watu humu ambao maisha yao halisi ni yale ya 'kikaksi' yaani wanasalimiana vizuri na watu, wanasaidia pindi waombwapo msaada, wanajumuika katika shughuli za kijamii n.k...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau. Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Children need strong fathers. Weak fathers have a high probability of raising weak sons. Therefore here are the 10 things every father should give or pass to their kids in the process of grooming...
1 Reactions
3 Replies
398 Views
Good evening, Ilikuwa jioni ya baada ya kutoka mihangaikoni bhna baada ya kuwa na meeting ndogo na tajiri kutoka JF ndipo nikakwea mwendo kasi. Nimekaa kwenye mwendokasi akaja mdada mzuri akawa...
7 Reactions
76 Replies
4K Views
Habari za wikiendi wakuu, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwa linalonitatiza. Kama mnavyojua kuwa kukosea ni sehemu ya maisha na mda mwingine ni njia moja wapo ya kujifunza(sihalalishi...
6 Reactions
90 Replies
9K Views
Men, Don't ever be tempted to engage in gossip because gossiping is a feminine trait. Before you plan to gossip you need to ask yourself this question, "Do you want to be viewed as one of the...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nellie akiwa na waume zake watatu Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni’, Nellie kutoka Nigeria ameitoa ile dhana ya mwanaume kuoa wake wengi bali mwanamke pia anaweza kuolewa na wanaume wengi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Dah wakuu hizi papuchi zinatesa sana. Niliwahi kutana na demu wa Singida aisee ,mtoto mkali anavutia sana kwa nje lakini kufika kunako 6×6 kila nikiweka sikojoi. Mara saa moja inakatika bado...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ni nzuri.. Habari njema ni kwamba Arusha tunakopesha mvua kwa riba nafuu Turejee kwenye mada..wakati wakumla mwanamke au demu tumekua tukiwaweka style mbali mbali ili...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Niko single kwa miaka 36, sijapata mtu mwenye vigezo vifuatavyo; Mume - Alieokoka - Umri kuazia 37-40 - Mweye mtoto 1 au 2, asiyetaka kuwa na mtoto tena au Ambaye ana nguvu za kiume lakini mbegu...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za muda huuu, Naonbeni msaada na ushauri , Nawapenda sana watoto na natamani niwenae lakini sina kizazi cha kebebea mimba so please nisaidieni niko tayari kuadopt, kuolewa na single...
10 Reactions
78 Replies
10K Views
Hivi unaona ugumu kuhonga pesa uweke heshima na kutimiza wajibu wakimaandiko, na instead you become a stinginess like other bullies? Unaficha pesa zako for the benefits of whom? You get sexy...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Nawasalimia hamjambo? Nina zaidi ya 30 yrs ila baadhi ya viaibu vya ujanani bado nipo navyo. Nina mpenzi wa muda mrefu ila naona aibu sana akifua nguo zangu za ndani yaani boxers na vests...
11 Reactions
154 Replies
7K Views
Nilikutana na rafiki yangu Frank jijini Dar baada ya kua tumepoteana tangia tulipomaliza sekondari O Level na kila mmoja wetu akapangiwa mkoa tofauti kwa masomo ya A Level. Sasa hivi yeye ni...
63 Reactions
515 Replies
47K Views
Wanajamii, salaam! Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri. Mimi ni mwanaume, -miaka 38 -rangi chocolate -mkristu Ninahitaji la...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence...
3 Reactions
6 Replies
655 Views
Mambo vipi wana MMU Niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi nimefunga ndoa ya kikristo na enzi kabla sijaoa sikuwahi kuwa Playboy kivile so nika date na huyu bidada ambaye tabia zake...
4 Reactions
122 Replies
16K Views
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge. Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
14 Reactions
140 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…