Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huwezi kuwakamata vipepeo kwa kuwakimbiza,wewe tengeneza bustani yako watakuja wenyew tu. Jijenge mwenyewe kwanza,Chase your dreams, jiweke fresh watakuja tuu. Women Love- conditional. Men love...
3 Reactions
2 Replies
442 Views
Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama. Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama...
27 Reactions
378 Replies
42K Views
Habari za Jumapili ndugu wa mikoa yote TZ na mlioko utawanyikoni(diaspora). Kwa kusoma ama kusikia visa vingi vya usaliti kati ya marafiki au washkaji wawili nikiwa mdogo (miaka 14), nikaamua...
12 Reactions
74 Replies
5K Views
Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
Habari wazee wezangu, Nimemwomba kijana asome na aachane na mkewagu mala moja. niliuchukua ushauri wenu na kumupa nafasi ya mwisho. Nimempa laki moja na asubuhi ya leo niliwatuma vijana wangu...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha...
1 Reactions
5 Replies
951 Views
Mimi kama mimi nimefika hatua ambayo siumii tena na moyo umekufa ganzi kabisa yaani ukiona nataka demu basi ni kwa show time, nafikiria kuoa lakini naona kabisa ninaeenda kumuoa namuonea huruma...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Hey guys naomba advice Nimekuwa kwa ndoa since 2019; I'm 27 na sijawahi pata mtoto, mume ana miaka 33.Nimekuwa na stress sana kwa sababu Daktari alisema siwezi zaa. Last year mwezi wa tatu I...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Hakuna anayeachwa ghafla, hakuna asiyejua kuwa hapendwi ila bahati mbaya sana kwetu, tunaziheshimu zaidi hisia zetu kuliko ishara zao kwetu. Ukipendwa hutotumia nguvu, usipopendwa utatumia sana...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Usiseme mwanamke fulani ni mgumu. Anafanya vitu kuwa vigumu coz hayupo interested na wewe. Zigundue ishara mapema then move on.
3 Reactions
4 Replies
845 Views
Ukikutana na mwanamke"stranger" kwenye bus or wherever halaf ukawa unatamani kupata namba yake lakini unashindwa namna ya kuanza mazungumzo, wewe mwambie tu "YOU SMELL GOOD" akijibu thanks endelea...
2 Reactions
8 Replies
771 Views
Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya. Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima. Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi...
33 Reactions
149 Replies
6K Views
Huyu jamaa ni mwigizaji maarufu huko marekani, anaitwa Leonardo DiCaprio, ana miaka 48 na hajaoa wala kupata mtoto..... Hali hii imemjengea umaarufu kwasababu imeonekana ameingia kwenye...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana. Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…