Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalaam wakuu Kipenzi mke wangu najua ananijali sana na kunipenda , ndiyo maana akakubali kwa kila hali na namna ifaayo kunipokea Na kabisa baraka tele ziwe juu ya huyu mwanadada juu ya...
14 Reactions
49 Replies
5K Views
Aliniambia usilegee kwa mwanamke. Eti jentlomani. Alisema mjukuu wangu Shebby achana na uzungu. Binti akikuzinguka mgonge makonzi au mbata akili ikae sawa. Alinambia uwe nare nare utachekwa. Hata...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanaume, Usimfungulie biashara mwanamke wako. Usifikirie hata kufungua biashara chini ya jina lake. Fungua biashara yako na umuajiri. Shughulika naye kama mfanyakazi mwingine yeyote na uwe...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
...
23 Reactions
293 Replies
14K Views
Jamanii nimechoka na hawa mabinti Kama mada inavyojieleza. Mi ni kijana rijali mwenye umri upatao miaka 35 Kutokana na changamoto za kimapenzi kutoka kwa hawa mabinti wa 20's nimeona sasa...
10 Reactions
66 Replies
7K Views
Leo nimeamua kuja na uzi huu kutokana na tatizo kubwa lililomo katika jamii yetu ya Kitanzania hususani sehemu za Mijini hasa miji mikubwa mikubwa. Vijana wengi wadogo (18-25) wamejikuta katika...
5 Reactions
63 Replies
15K Views
Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno. Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni familia flani hapa hapa jijini Dar es salaam. Ukiwatoa wazazi ambao washatangulia mbele ya haki, wanabaki watoto tisa. Wakike watatu na wakiume sita. Kufungua mimba ni dume na kifunga mimba ni...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa! Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata...
51 Reactions
276 Replies
23K Views
Ndiyo! Kuanzia wiki ijayo ndiyo uwongo walioaminishwa nao leo utajulikana na kudhihirika. Leo wapenzi wao wametoa visababu kedekede vya kuwafanya wawe mbali nao lkn wiki ijayo itajulikana kuwa...
1 Reactions
8 Replies
519 Views
Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Yaani upare wangu huu unanikosesha pisi kali saana, yaani nikimtongoza binti yoyote hata awe mzuri vipi akianza kuniomba pesa sijui kusuka umeme mzuka unanikata kabisa. Nipo radhi nikae nae...
7 Reactions
19 Replies
988 Views
Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Hizi zinaweza kuwa sababu kuu, zinazowafanya wanawake wengi wasiwe na wapenzi wa kiume:- Kuwajibu wanaume wanao watongoza kwa lugha ya ukali Kuwadharau wanaume wanao watongoza kimuonekano na...
22 Reactions
118 Replies
7K Views
Wakuu habari za leo, Natumai kuwa nyote hamjambo. Twende kwenye mada. Nimekuwa nikifikiria kauli kama Kupelekewa Moto, Kuliwa, Kubanduliwa na zingine myingi. Mbona kauli kama hizi zinafanya...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Nahitaji mume serious Sifa zangu -elimu shahada ya kwanza -nimeajiriwa serikalini -Mkristo -sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu Sifa!- - Miaka...
18 Reactions
73 Replies
10K Views
Nawasalimu. Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri. Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili. Kilichonifanya nije hapa...
29 Reactions
214 Replies
14K Views
Wakuu kuna mwanamke nilizaa naye mtoto na tulishashindwana, kwa sasa mtoto ana miaka minne. Changamoto ninayopata huyu mtoto kashaanza kuhoji maswali, mara uko wapi unafanya nini, nataka nije...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Sikuwahi kufikiria kama jambo kama hili litakuja kutokea nchini.. Nilichozoea kuona ni watoto waliobakwa wakifanyiwa vipimo na ripoti ya daktari kusema mtoto alikutwa na michubuko ama kuonekana...
20 Reactions
77 Replies
5K Views
Sababu kubwa ya wanaume kufukuzia wanawake wanaojiuza huwa ni kwenda kupoza hasira na machungu ya kubaniwa na wake zao kimapenzi. Kwenye ngono za kununua hawanyimwi wala kubaniwa na wafanya...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…