Yani, waamasai ndilo kabila lenye wanawake wenye heshima, na ukioa mmaasai atakuheshimu kweli kuliko ukikimbizana na wachaga wasioelewa somo. Mimi naona bora mmasai kuliko mchaga...
Yani uyo mwanamke kakaa kijanja anajua kwa madhaifu aliyonayo ukimfunua tu mara moja utotaka kurudia tena ndo maana anakunyima iyo ni defensive mechanism yake
Mwanamke anayejiamini na uanamke...
Binadamu amekuwa na vitu vyake anavyovipenda sana na vingine kuvichukia sana. Vipo anavyovipenda kidogo na vingine anavichukia kidogo, lakini vipo ambavyo hajui kama anavipenda ama anavichukia...
Kichwa cha Uzi: Jinsi ya kutongoza wanawake ( mbinu za ndani sana hakuna mwanamke atakataa )
kabla ya kuanza kuandika na kushusha nondo naomba radhi kwakua siku za karibuni sikwepo sana online...
Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt...
Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina...
Njoo...
Hivi sasa kinachoendelea huko mitandaoni ni kelele kwamba Mheshimiwa flani kaachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wa kwake,
Hakuna chanzo rasmi kilichothibithisha kwa uhakika kama...
Kibaka akitaka kumwibia mwanamke, kwanza kabisa ataangalia kama ameongozana na mwanaume.
Muuza magari akitaka kumuuzia mwanamke gari bovu au kumpiga kwenye bei, ataangalia kwanza kama yupo na...
Watu wengi sana wanatumia huo mfumo, maana hakuna gharama, n kuvuta tu la kwako bila yeyote kujua. Hata mimi nimesogeza la kwangu, hatatujamaliza wiki mbili tumeachana...
Usiwaamini wanaofanya dharau kuwa jambo la kawaida
Wanapokupotezea — wanadai wako busy.
Wanapokukosea— “human nature.”
Lakini wewe ukifanya hata nusu ya hayo ghafla umebadilika,
Umeanza kiburi...
Bongo kuna tatizo gani? Kwanini mwanaume au mwanamke akionekana barabarani na mpenzi wake wakiwa pamoja huwa idadi kubwa ya watu inawashangaa sana?
Kwani mapenzi Bongo ni dhambi, aibu au dhahabu...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha...
Nani atakubali mimi niwe dada yake ??
Natamani mwanaume m,moja wa kumuita kaka yangu.
Naweza kusimama popote na nikasema nina kaka yangu.
Nitamtambulisha kwa wazazi wangu kuwa naye ni mtoto...
Na sijui kwanini Wanawake wengi wenye haya Mashauzi ya kujifanya Wao ni wa Thamani kubwa
Hivi huyu Dada ni wa Thamani hiyo kweli hata ukimuangalia tu hapa katika hii Picha Mjongeo? Angalia...
Katika maisha 85% ya matatizo ambayo unaweza kupitia yanatokana na uhusiano wako na watu wengine waliokuzunguka ndiyo maana kila mtu akianza kusimulia kufeli kwake, kuharibikiwa kwake atakuwa na...