Hii kweli kauli ya kutoa mke kumwambia mumewe?!!! Ananiitaje 'baba' kwanza?!!! Halafu hayo yote eti baada ya kutumia ujumbe wa kumtaka amrudishe nyumbani Binti yetu (mkubwa wa kidato Cha kwanza)...
USIMPUUZE MKEO
Mwanamke akikasirika, mara nyingi huongea kwa maumivu sio logic
Usimjibu kwa ubishi, jibu kwa utulivu. Upole wako unaweza kubadilisha hali.
Imani yake ikivunjika, hairudi...
Familia nyingi sikuhizi kuna watoto wasiozidi watatu, wengi hudhani ni family planning (kuzaa kwa mpango) lakini ukifuatilia kwa ndani ni kutokana na ongezeko la kina mama wanaojifungua kwa...
Nimekuja mkoa wa Kilimanjaro kusherekea Sikukuu yangu ya Kuzaliwa. Huu mkoa una warembo sana, nimekaa Moshi mjini vijijini na Arusha balaa.
Jisafirishe mwenyewe urudi na mtu.
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home...
Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela...
KAGERA: SERIKALI kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi za Usuluhishi wa Migogoro ya Ndoa mkoani Kagera, ikiwataka kujikita katika jukumu la...
Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango...
Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima...
Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo.
Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko...
Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV
nipo online karibu sana, nnapoishi...
Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi
Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo
1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya...
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa...
Mwanaume mmoja mkazi wa kahama ame ibiwa sehemu zake za siri huko kahama.
Wazee hiki sio kitisho au utani mambo yamesha kuwa mabaya, aisee tutaisha aisee.
Mwanaume unaweza kusex na mwanamke mwenye weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs)?
Kama unaweza basi jua wewe ni jasiri ambae unaweza hata kutafuna jongoo.
Binafsi siwezi kabisa labda kwa...
Habari,
Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake...
Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada.
Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani...