Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,826
8,676
Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada.

Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo.

Tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi kuurudisha nyuma. Ningeomba Serikali labda kama inaweza ingilia kati itapendeza, asante.
 
.
20230426_165053.jpg
 
Habari za muda huu wadau ningeomba nuende moja kwa moja juu ya muda.

Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunio labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi kuurudisha nyuma, Ningeomba serikali labda kama inaweza ingilia kati itapendeza asante.

Aiseee
 
Back
Top Bottom