Wasalaam waungwana. Amani ipitayo akili na fahamu za binadamu iwe pamoja nami.
Tangu nioe nina mwaka wa kumi sasa ndoani. Wakwe zangu ni wakarimu sana na wacheshi mno. Ni marafiki na washauri...
Kuna story nyingi sana kwenye mahusiano, mtu akishaishi kidogo tu na mpenzi wake basi kashamchoka anataka kumtema na kupata mwingine.
Wengine wanachokana baada ya siku, wiki, miezi, miaka nk na...
Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi...
Hali zenu waungwana!
Nina kijana wangu wa kwanza, kuna kazi alifanya sasa ametuletea wazazi kiasi cha pesa kama zawadi! Akafika, tukaketi barazani na akaanza kueleza lengo la ujio wake.
Mwishoni...
Ndugu zangu,
Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi.
Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela...
Mko salama waugwana,
Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana.
Kwakua sina mke na nimeacha kuamini katika mapenzi, ila kuna demu najikuta moyo wangu kama umenasa kwake...
I'll keep this short... as short as a lunch break 'quickie' with that slim sexy secretary nextdoor.
Iko hivi, mwanamke yoyote yule hapa duniani ana tamani kuwa 'dominated' mara kadhaa au mara...
Hasira ni hisia zilizoshindwa kujikabili baada yakufanyiwa au kufanyika kitendo kinachoaminiwa si cha kiungwana kwa mtendwa au mtendewa.
Hasira ni hisia kama namna tumejifunza kuwa hisia ni...
Majuzi nilileta thread kuhusiana na faida ya ndoa kwa mwanaume tajiri ni nini, nashukuruni kwa michango yenu.
Nina ka story kadogo cha demu fulani hivi niliomtokeaga 2018 hapo kalikuwa kamemaliza...
YAMENIKUTA UKWENI
Shangazi'enu aliniomba nimpeleke hom kwetu akaonane na bi mkubwa, nikakataa KUTOKANA na sababu BINAFSI lakini baadaye alipokaza uzi, nikaona acha nimpeleke.
Ile tumefika...
Ndoa kiroho ni agano.
Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia.
Siku hiyo unasaini hati ya
Kufanikiwa kwako au kufeli...
Wakuu,
Morogoro ndani ndani uko kidg
Miaka kama 6 ilopita niliwahi kulima mpunga na mahindi sana, sasa Kuna familia flani ilkuwa ikinisaidia Sana kazi za shamba.
Ile familia
Mume na MKE na watoto...
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama...
Wanawake mnatupasua sana kichwa mara matumizi mara kasheshe na vituko kibao lakini kubwa zaidi mmetubambikizia watoto wasio wetu, wengine ndio kwanza mpo kwenye huo mpango wa kuwabambikizia wenzi...
Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.
Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu
Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1...
Habari zenu ndugu,
majirani zetu na marafiki tusiofahamiana nje ya JF kama tunapatikana humu, isipokuwa wachache wanaofahamiana JF na nje ya JF. Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima na wale ambao...
Habari za wakati huu, ndugu zangu, wakubwa kwa wadogo nyote njooni hapa kutoa maoni yenu.
Kwa masikitiko makubwa kuna wimbi kubwa sana msimu huu wa shule zilipofungwa la mabinti wadogo kudanga na...
Hoja za kizushi kwa mwanamke
Umewahi kujiuliza kwa nini semina za kisasa zinataka ustaarabu wa ndoa uishie nje, mkiwa chumbani hakuna ustaarabu? Yaani mnapotaka kutiana vurugu zifanyike; romance...
WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA.......
Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu,
Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya...
Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli .
Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama...