Arshad Sharif alikuwa Mwandishi aliyejulikana kwa Ukosoaji mkali dhidi ya Viongozi wa Kijeshi wa Pakistani na ufisadi katika siasa hadi alipokimbili Kenya kutafuta hifadhi baada ya kupokea...
Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa.
Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje...
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance...
Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao...
SUMMARY OF PRESIDENT RUTO'S SPEECH
▪️Dissolving 47 state agencies, to be merged with overlapping ministries
▪️Appointments of Chief Administrative Secretaries immediately suspended
Govt advisors...
Na hii ndio mbinu aliyoitumia JPM, badala ya kuwabebesha wananchi mzigi mkubwa wa kodi, serikali zinapswa kuacha kununua mashangingi mapya na fenicha za maofisini kila mwaka, badala yake yafanyiwe...
President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle which will result in the abolition of about seven ministries.
A front-page publication by a local media house citing...
Even in our Country Tanzania 🇹🇿, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii...
Afisa mkuu wa polisi aliye stationed katika Kituo cha Polisi cha Kegonga huko Migori alijipiga risasi kimakosa alipokuwa akimpa silaha mwenzake ndani ya kituo siku ya Jumatatu.
Kulingana na...
Swali kwa wajuzi, Bajeti ya Kenya haijapita hadi leo. Mwezi huu wa saba wafanyakazi wa Serikali na wabunge ikiwemo wanajeshi, mishahara yao italipwa au la?
Ruto alijichanganya mwenyewe, he is the only African leader ku jiingiza rasmi kwenye ugomvi wa nato vs russia, china &co., Ruto alicondem rasmi live kwamba Russia ni aggressor, ruto alipewa status...
Rais wa Kenya ,William Ruto amesema kutokana na Wananchi wa Kenya kuukataa mswaada wa sheria ya Bajeti Maarufu kama Finance Bill uliozua Maandamano makubwa, Serikali yake italazimika kukopa Zaidi...
Vijana waandamanaji wa Gen Z wameonya Wachungaji na Mapadre kutoruhusu Harambee za Wanasiasa kesho na wale watakaokaidi watakuona Cha moto
Gen Z wamesema kesho watatawanyika katika Makanisa yote...
Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba.
https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D...
Idadi ya waliojeruhiwa katika maandamano ya kupinga serikali yanaendelea kuongezeka, huku watu wengine 35 wakilazwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na majeraha ya risasi na majeraha mengine tofauti...
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.
Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain...
Makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera, amezidi kumuanika Mwenyekiti, Wafula Chebukati, akimshutumu kwa "kukosekana kwa uwazi" katika kushughulikia uchaguzi...