Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

MUST READ Misbehaving in Dar es Salaam: A Kenyan journalist’s experience in Tanzania Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania. A close friend has...
13 Reactions
17 Replies
3K Views
Mradi wa Kituo cha Mabasi cha Green Park, ambao hapo awali ulipigiwa debe kuwa ungebadilisha hali na kupunguza msongamano CBD, unadaiwa kusimamiwa na kuendeshwa na watu wenye uhusiano na viongozi...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Kenya imeibuka kuwa moja ya nchi zinazolengwa zaidi na wahalifu wa mtandaoni Afrika Mashariki, huku ongezeko la utumiaji wa huduma za kidijitali na pesa kupitia simu likiwaacha mamilioni ya...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Kenya imelipa takriban Shilingi bilioni 7.7 kama ada za kujitolea (commitment fees) kwa mikopo ya kigeni ambayo haikutumika kati ya mwaka wa fedha 2020/21 na 2024/25, kulingana na ripoti za...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Erastus Ethekon, amesema tume haiwezi kuendesha uchaguzi katika mazingira yaliyojaa chuki, uchochezi, mgawanyiko na vurugu, huku akitoa wito...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Garissa Referral Hospital imekanusha madai yaliyosambaa kwenye video ya viral kwamba kukatika kwa umeme kuliacha wagonjwa wa ICU na vitengo vingine muhimu bila huduma ya umeme kwa sababu ya...
1 Reactions
2 Replies
236 Views
Mpango wa Vision 2060 umeendelea kuzua mjadala nchini baada ya Rais William Ruto kuuzungumzia wakati wa mkutano na wanahabari, akisema utakuwa dira ya maendeleo ya muda mrefu ya Kenya baada ya...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Je, kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa baada ya kutoa matamshi ya hadharani ni utekelezaji wa sheria bila upendeleo, au kunaweza kuibua maswali kuhusu uhuru wa kisiasa na uhuru wa kujieleza...
0 Reactions
3 Replies
149 Views
Mchakato wa kuwa jaji nchini Kenya unasimamiwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) kulingana na Katiba ya mwaka 2010. Hatua kuu zinahusisha utangazaji wa nafasi wazi, maombi ya umma, mchujo...
3 Reactions
5 Replies
144 Views
Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO)...
2 Reactions
9 Replies
179 Views
  • Featured
Wakazi wa sehemu ya Mathare North wameendelea kulalamikia kukosekana kwa umeme tangu Ijumaa iliyopita, wakisema hali hiyo imeathiri maisha yao ya kila siku huku juhudi za kurejesha huduma...
3 Reactions
7 Replies
495 Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa kwanza wa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi (IPOA), Macharia Njeru, amedai kuwa Rais William Ruto aliwaita viongozi wa IPOA katika Ikulu na kutoa matamshi...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Seneta wa Makueni, Daniel Maanzo, amedai kuwa baadhi ya maseneta walipewa hongo ili kuunga mkono hoja ya kumwondoa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani. Akizungumza katika mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Maelfu ya wateja wa Kenya Power wamekumbwa na changamoto ya kushindwa kununua tokeni za umeme wa malipo ya awali saa chache baada ya hitilafu kubwa iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imefichua mtandao mkubwa wa ulaghai ndani ya mfumo wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), ambapo baadhi ya vituo vya afya vilivyokuwa vimefungwa au...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Mswada mpya uliowasilishwa Bungeni unapendekeza kuondolewa kwa matakwa ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutangaza matokeo ya uchaguzi moja kwa moja (livestream) kutoka vituo vya...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Shirika la Kenya Power limetangaza kuwa limefanikiwa kurejesha huduma ya umeme katika maeneo yote yaliyoathiriwa na hitilafu kubwa iliyosababisha kukatika kwa umeme katika sehemu mbalimbali za...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Wakazi wa Rongo wameonywa kuwa waangalifu baada ya mwanamume aliyefahamika kama Jeff Omondi kukamatwa kwa madai ya kujifanya afisa wa polisi kwa kuvaa sare za polisi na kuwalaghai wananchi. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
Mwaka 2024, Seneti ilipokea Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi uliopendekeza kuondoa sharti la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuonyesha moja kwa moja (live streaming) matokeo ya...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, alipata uungwaji mkono wa kipekee wakati wa kampeni zake Kimilili baada ya wakazi kujitokeza kwa hiari na kumchangia fedha hadharani katika mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…