Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Tanzania and Uganda are among several African countries under UN investigation for violations of sanctions against North Korea, a UN panel of experts has said. Their September 9 report was issued...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo. Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote...
7 Reactions
65 Replies
8K Views
Filamu kuhusu shambulizi la kigaidi la Alshabaab nchini Kenya ambapo watu 28 waliuawa ndani ya basi eneo la Mandera mwaka 2014 imeshinda tuzo la Oscars kitengo cha wanafunzi. Filamu hiyo pia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbunge wa Jubilee nchini Kenya amewasilisha muswada katika Mahakama ya juu nchini humo kumuondoa madarakani Jaji Mkuu David Maraga aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa urais nchini humo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
ECONOMY Tobiko to charge 24 IEBC officials over botched election WEDNESDAY, SEPTEMBER 13, 2017 21:12 BY GEORGE OMONDI [http://www]...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari katika kaunti ya Homabay nchini Kenya, anashikiliwa na polisi akitarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya kupatikana akiwa na bunduki, kwa mujibu wa gazeti la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wow! The Prism Tower is coming out fast and awesome
6 Reactions
19 Replies
4K Views
KENYA: Polisi imewakamata watu 4 wanaodaiwa kuwa raia wa Burundi waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la Al-Shabab ============== Nairobi (RBC Radio) Kenya police on Tuesday said they...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Muungano wa NASA unasisitiza kwamba hakuna uchaguzi utaandaliwa tarehe 17 mwezi Oktoba ikiwa matakwa yao hayatatimizwa. Wakiwahutubia wanahabari, viongozi wa NASA hata hivyo walipuuzilia mbali...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Bweni la shule ya upili ya wavulana ya Migori lilishika moto jana usiku ambapo bidhaa za wanafunzi zilichomeka. Moto huo ulizuka wakati wanafunzi walikuwa kwenye masomo ya jioni. Ilichukua muda wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wa upinzani wameendelea kususia vikao vya bunge vinavyoendelea mara baada ya kugomea ufunguzi wa bunge hilo na Rais Uhuru Kenyatta. Wabune wa Jubilee pekee ndio waliokuwa kwenye kikao cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gavana wa Machakos Dr. Alfred Mutua, sasa anadai kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, amepunjwa kwenye muungano wa NASA na mgombea urais wa muungano huo Raila Odinga. Dkt. Mutua anadai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Misa ya wafu kwa wasichana tisa walioaga dunia katika shule ya upili ya wasichana ya Moi jijini Nairobi imeandaliwa leo shuleni humo. Misa hiyo inahudhuriwa na wanachama wa bodi ya usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
September 13, 2017 Kisumu, Kenya Vurugu Kisumu baada ya vijana kutaka kuvamia mkutano wa kina mama Kumetokea ghasia katika mji wa Kisumu, Kenya baada ya wakaazi wa mji huo kusoma habari...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
THURSDAY SEPTEMBER 14 2017 The US State Department has issued a travel alert, warning of possible violence linked to October 17 repeat presidential election. The new notice comes less than a...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Centum sets new record with Sh375.6m CEO pay WEDNESDAY, SEPTEMBER 13, 2017 11:19 BY VICTOR JUMA Centum Investment’s ICDC • 41.75 ▼ 0.60% chief executive James Mworia’s total pay rose 87 per cent...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kisha aende zake home. Baada ya...
21 Reactions
212 Replies
40K Views
Kabla hata ya kuyasikia majibu ya NASA kuhusu kauli ya kipumbavu aliyoitoa Uhuru Kenyatta kuwa eti hata Raila akishinda uchaguzi ndani ya miezi mitatu Jubilee wana uwezo wa kumwondoa madarakani...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Amesema hana wasiwasi wowote wa kurudia uchaguzi na kuwaita wale majaji ni majambazi. Aliyasema hayo wakati akilihutubia bunge ktk ufunguzi wake. Jaji Mkuu wa Kenya hakuhudhuria sherehe hizo kwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom