Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama...
Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai.
Washtakiwa...
Makamu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua amemuita Rais William Ruto "kamanda halisi" wa Kikosi Maalum cha Sudan (RSF) kutokana na madai ya kufanya biashara za kifisadi na kiongozi wa kikosi...
Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes...
Clip Moja kutoka Kenya imetapakaa sana kwenye mitandao ya kijamii Bado sijajua shida ya jamaa ni Nini kilichosababisha Hadi akadandia Ile helicopter 🚁 angani?
Wakuu,
Wakati hapa Tanzania wapinzani wakiwa wanalalamikia kukamatwa kwa Tundu Lissu huko nchini Kenya mambo pia yameeendelea kuwa sukari.
Hivi karibuni Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais wa...
Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu.
1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000.
2. Malipo ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Naamini Katiba ya Kenya imekiukwa uteuzi Naibu Rais
Nimeshangaa kuona mtu aliyewahi kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na bunge la senate 2020 kisha kufukuzwa kwenye...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatatu, Machi 31, 2025, kuwa Sikukuu ya Umma kwaajili ya kusherehekea Eid-ul-Fitr
Eid-ul-Fitr, inayomaanisha “Sikukuu ya Kuvunja Funga,”...
Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300...
Shirika la Ndege la Taifa, Kenya Airways, limevunja ukame wa faida wa miaka 11 kwa kutangaza faida ya Shilingi bilioni 5.4 kwa mwaka uliomalizika Desemba 31, 2024.
Hili ni ongezeko kubwa...
Askofu Willybard Lagho wa Kanisa katoliki jimbo la Malindi, Kenya ametoa waraka kwa makasisi wote wanaosimamia parokia za dayosisi hiyo, akiwaagiza wasiwape nafasi za pekee wanasiasa wakati wa...
Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kushindwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2027 endapo hatatimiza matarajio ya Wakenya, akisisitiza kuwa hatashikilia madaraka kwa nguvu iwapo wananchi...
Rufiji Hydropower Project
The 2,100MW Rufiji hydropower project is being built on the Rufiji River in Stielger’s Gorge, Selous Game Reserve of Tanzania. With a gross output of 5,920GWh, the plant...
Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki.
Mashabiki hao walidai kuwa...
Kenya's Foreign Affairs secretary Amina Mohamed. PHOTO | DIANA NGILA
By PATRICK LANG’AT
Posted Monday, October 3 2016 at 13:25
IN SUMMARY
The post became vacant after the expiry of term of...
Chanzo:
https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19
Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini...
Hello,
This thread is specifically to help Tanzanians who misunderstand English statements because it's been happening a lot recently. We will quote the statement and the response from the...