I have been watching several local and international media talking heads leading their discussions and news with the title, Political Crisis, way forward for Kenya. What next after Uhuru win? As...
Kama alivyokua ameahidi, kwamba atatoa tamko lililokua limesubiriwa, atangaza kwamba atawakusanya makundi mbali mbali ya kijamii na kuunda mfumo mbadala wa serikali ambao utaongoza hadi siku...
Dear Uhuru, you don’t have to go the way of Magufuli and Edgar Lungu
Monday October 30 2017
By ALY VERJEE
There are instructive, warning examples from the region for Uhuru Kenyatta: The...
Kenya Supreme Court judges denied extra security after shooting
WEDNESDAY NOVEMBER 1 2017
Kenya’s Supreme Court in session during the 2017 presidential petition. PHOTO | AFP
In Summary...
KENYA: Benki Kuu ya Nchi hiyo imetoa agizo la kushikiliwa kwa akaunti za kibiashara za Majenerali sita wa Sudani Kusini.
Hatua hii imechukuliwa ikiwa ni sehemu ya utekelezwaji wa azimio la Baraza...
Hongera Kaguta kwa kuheshimu diplomasia, ingawa kuna wakati mlipishana na Uhuru kuhusu kisiwa cha Mingori lakini umeonyesha diplomasia ya hali ya juu ili kudumisha ujirani mwema.
Hata kama...
Katika Hotuba yake baada ya kuchaguliwa rais mteule Uhuru Kenyatta amesema anasheherekea ustahimilivu wa taifa la Kenya, katiba ya nchi hiyo na taasisi zake
Amesema uamuzi wa mahakama ulisema...
Hits and misses in Raila Odinga's political gambles
By Moses Njagih
Published: Oct 31st 2017 at 22:08, Updated: Oct 31st 2017 at 22:09
Raila Odinga being shielded by his security men at Ford...
Hii ameisema imetokana na kwamba mgombea urais Raila Odinga alichomoa wakati wa marudio, hivyo Aukot akabaki yeye kama mpinzani aliyepambana hadi mwisho.
Thirdway Alliance presidential...
Kama tulivyo sikia siku ya Alhamis, raia wa jimbo la Catalonya wapiga kula ya kujitenga na Uhispania, sababu ziko nyingi.
Vuguvugu hili lilianzishwa na viongozi wa jimbo hilo akiwemo rais wa...
Wakenya wanasubiri kwa hamu mwongozo wa Kinara wa upinzani Baba Raila.
Muungano mkuu wa upinzani nchini kenya NASA umekataa kutambua uchaguzi ambao uhuru kenyatta alichaguliwa kuwa rais mteule...
Nadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa...
Uhuru Kenyatta ndiye rais mteule wa taifa la Kenya baada ya kuzoa kura milioni 7.4 ya kura zote zilizopigwa kwenye uchaguzi mpya wa urais, ametangaza mwenyekiti wa tume ya IEBC, Wafula Chebukati...
Nimejaribu kufatilia taarifa za ushindi wa Kenyatta, hapa kwetu sijaona salamu za pongezi zikitoka kwa haraka kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita, tukiachia hapa kwetu AU, pamoja na nchi za Jumuia...
Muungano wa upinzani wa National Super Alliance (NASA) unakusudia kutamtangaza Raila Odinga, kuwa Rais wa Kenya iwapo Rais Uhuru Kenyatta ataapishwa.
NASA umetoa changamoto kwa Tume Huru ya...
Jeshi la Polisi linachunguza tukio la kuuawa kwa mzee mmoja wa miaka 60 na sehemu zake za siri kunyofolewa. Mwili wake wakutwa ukiwa umetupwa kando ya barabara ya Riruta Jijini Nairobi.
Mpaka...
geza
....
I really cant with this govt!!
Tanzanias total rail cost
1.5bn$ to build same distance as Kenyas Rail
Of the 4bn$ used to construct
Mombasa Kenya Railway
2.3bn$ is unaccounted...
Declaration of interest. Binafsi namkubali sana mzee wetu EL ambaye ni chaguo la watanzania walio wengi.Kwa utulivu wake na jinsi anavyofanya maamuzi kwa uweledi uliotukuka.
Ikumbukwe mh Lowasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.