ARUSHA: fuatilia live kuapishwa kwa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki na uchaguzi wa Speaker

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
EALA_Bunge

Wagombea wa kiti cha Spika ni
  1. Adam Kimbisa kutoka Tanzania
  2. Martin Ngoga kutoka Rwanda
  3. Leontine Nzeyimana kutoka Burundi
 
upload_2017-12-18_10-33-10.png

upload_2017-12-18_10-32-7.png
 
Kwa mara ya kwanza wanaapishwa wabunge kutoka South Sudan
 
Japo kwa jinsi walivyoteuliwa wa huku kwetu, ni wazi hilo bunge limejaa wasanii na upumbavu na sitegemei chochote huko bora livunjwe, anyway sijui na nchi zingine ila waliotoka huku kwetu ilikua utapeli wa kifamilia na kujuana, pumba tu.
 
Unapendekeza livunjwe kwa sababu Kenya imechagua wabunge kwa kujuana au kwa sababu halina umuhimu?
 
Ndio maana nikasema sijui huko kwenye nchi zingine, maana kama na huko ni madudu ya kihivi, bora livunjwe na kuundwa upya wakizingatia utaratibu mpya. Pawe na katiba ya Afrika Mashariki ambayo itatoa taratibu za vipi wabunge watateuliwa ili kuhakikisha wanaokwenda huko hawaendi kushangaa shangaa.

Kwa kifupi sijui figisu za nchi zingine, sijui kama nyie labda CCM imewaghubika hivyo huwa hata hamuhoji ni yupi anatumwa kule.
 
Japo kwa jinsi walivyoteuliwa wa huku kwetu, ni wazi hilo bunge limejaa wasanii na upumbavu na sitegemei chochote huko bora livunjwe, anyway sijui na nchi zingine ila waliotoka huku kwetu ilikua utapeli wa kifamilia na kujuana, pumba tu.
Poleni sana aisee tatizo lenu wakenya ni ukabila.......tunawaombeeni hilo swala mungu asaidie liweze kuisha na kupotea kabisa hapo nchini kwenu
 
Ndio maana nikasema sijui huko kwenye nchi zingine, maana kama na huko ni madudu ya kihivi, bora livunjwe na kuundwa upya wakizingatia utaratibu mpya. Pawe na katiba ya Afrika Mashariki ambayo itatoa taratibu za vipi wabunge watateuliwa ili kuhakikisha wanaokwenda huko hawaendi kushangaa shangaa.

Kwa kifupi sijui figisu za nchi zingine, sijui kama nyie labda CCM imewaghubika hivyo huwa hata hamuhoji ni yupi anatumwa kule.
Suala la uchaguzi wa wabunge wa EALA kwa hapa Tanzania lilifanyika mda mrefu, Tumeongea sana, kukosoa na kutoa maoni yetu! Utakumbuka Kenya mlichelewa kufanya uchaguzi huu nadhani kwa sababu ya uchaguzi mkuu! Sasa ukisema kuwa hatuna utaratibu wa kuhoji unajilisha upepo bure maana ziko nyuzi nyingi sana humu (sio jukwaa hili) zenye maoni mbali mbali juu ya mchakato huo.

Ndio; changamoto zilikuwepo ambazo kwa kiasi kikubwa zinachagizwa na mfumo uliopo, na nikubaliane na wewe kuwa tunatakiwa kuwa na mfumo ulio bora zaidi na unaofanana wa kuwapata wawakilishi! Lakini wakati hili linafanyika,suruhisho sio kuvunja bunge.

halafu unapoongelea ccm tz unasahau kuwa hapa ni kweli tunatawaliwa na chama kimoja, ni ukweli ambao hatuwezi kuukana! Lakini nanyi pia ni mnatawaliwa na kabila moja na ukoo mmoja! Tofauti zetu hapa ni kidogo.
 
Back
Top Bottom