Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya(NASA), Raila Amolo Oginga Odinga amesema kuwa ataapishwa kuwa rais wa taifa hilo mnamo tarehe 12 mwezi Disemba na kuingia Ikulu rasmi. Kauli hii ya...
2 Reactions
80 Replies
12K Views
Baadhi ya wafuasi wa Muungano wa NASA wamekasirishwa na uamuzi wa kiongozi wao, Raila Odinga kukataa mipango ya kumwapisha Jumanne ya leo Novemba 28. Imeripotiwa kwamba wakati wa mkutano wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kiukweli Rais akisha apishwa biashara ya uchaguzi inakuwa imefikia mwisho NO more politics but wananchi waachwe wakafanye shughuli za kuwaletea maendeleo. Ndivyo alivyofanya Lowassa na maalim...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimefika Kenya mara nyingi lakini ukiondoa Raisi wa Tanzania hakuna kiongozi wa Tanzania ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia! Lakini hapa Bongo tuko obsessed na Kenya...
10 Reactions
140 Replies
12K Views
EABL starts local production of Captain Morgan rum East African Breweries Limited (EABL) has started brewing Captain Morgan Gold at its Ruaraka brewery in Nairobi as it seeks to tap into the...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji na wananchi kupunguziwa gharama! Hizi ndiyo stratergies sasa sio sisi tunapatuka tu viwanda vya maandazi na...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hotuba nzito na yenye sera nzito ya kuimairisha EAC in ya leo ya Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta. Sasa kwa wanajumuiya ya EAC ni kitambulisho cha uraia kinatosha kuishi, kufanya kazi...
16 Reactions
182 Replies
15K Views
ASKOFU ASILIMU KENYA NA WAFUASI WAKE, AGEUZA KANISA LAKE KUWA MSIKITI Habari zilizotufikia kutoka Kenya, Askofu Charles Okwany ambaye baada ya kuichagua dini ya Kiislamu kuwa mwongozo wake wa...
35 Reactions
354 Replies
46K Views
Kijana wa miaka 25 kutoka Baringo Kaskazini ajiua kwa kunywa sumu baada ya Kaka yake kuuza Mbuzi wake 8 bila ya idhini yake. Kipkemei Tobero amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana wakati Uhuru Kenyatta anaapishwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine, uwanja wa Kasarani ulikua umejaa pomoni. Lakini imebainika kuwa wengi wa waliohudhuria waliletwa kutoka nje ya Nairobi...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi raia wa Kenya wanapenda sana kumuona. Kwa kipindi cha miaka 2 ya...
12 Reactions
171 Replies
17K Views
“As a mark of our continued commitment to you, our Brothers and Sisters in the East African Community; from today, you will be treated like Kenyans. Like your Kenyan brothers and sisters, you will...
2 Reactions
94 Replies
12K Views
Why Benjamin Netanyahu is no-show at Kasarani, Nairobi Tuesday November 28 2017 Despite being invited and confirming his attendance, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has not attended...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki ambayo imeridhiwa na nchi zote sita wanachama, inatoa uhuru wa wananchi (ajira), fedha, huduma na bidhaa kuhama au kuhamishwa kutoka nchi moja kwenda...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
MY TAKE Congrats to TFDA n TRA. Ni era ya kufuata sheria.
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Netanyahu alihudhuria kuapishwa kwa kenyatta hii leo na baadae kufanya mazungumzo kabambe na marais kadhaa toka africa! Na rais wa uhabeshi.
3 Reactions
45 Replies
5K Views
I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya. Karibuni Bongo mpate world class services! Can accomodate over 570...
15 Reactions
189 Replies
26K Views
Rais Kenyatta amewakaribisha watanzania na wengine katika jumuia ya afrika mashariki kwenda Kenya kuchumbia wasichana (kumiliki ardhi) na kuoa huku akijua kuwa wasichana wote wa Kenya...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Back
Top Bottom