Moses Kuria huyu ni Gatundu South MP amesema Raila kujiapisha ni uwazimu labda ajiapishe aende kwa bibi yake sio State. Kujiapisha ni kosa kikatiba ya Kenya hukumu ni kifo.
An interchange in tz costs sh9b;
Outering elevated with 4 interchanges,8 lanes and 7 footbridges and streetlights and is 16 km will cost us 8.1 billion Kenyan shillings.
Thika road which is 60km...
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?
Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye...
IMF team to visit Kenya as red flag is raised over debt levels
MONDAY DECEMBER 4 2017
National Treasury of Kenya. Economists say the government will be forced to reduce spending on key...
Hakuna kitu huniuma kama kuona mwanafunzi anaishia kwenye darasa la nane na kuhitimisha elimu yake ya shule, lakini sasa hiyo haipo tena, hii ni kwa ajili ya bidii na jitihada za wadau kwenye...
Watu wasiaomini kuna Mungu wameitaka Serikali ya Kaunti ya Nairobi kujenga madanguro badala ya kupitisha sheria inayokataza ukahaba
Mwenyekiti wa chama hicho, Harrison Mumia amesema ametoa siku...
Kenya's ruling Jubilee in dilemma on mega projects
SATURDAY DECEMBER 2 2017
Kirinyaga Governor Ann Waiguru shows President Uhuru Kenyatta (right) the plan for Thiba Dam. PHOTO | NMG
In Summary...
Dispute over tariffs threatens to derail Kenya SGR cargo service plan
WEDNESDAY NOVEMBER 29 2017
Kenya Railways Corporation will charge $500 to transport a 20ft container from...
Maajabu yanaendelea!
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo ifikapo tarehe 12 mwezi Desemba, 2017.
Mwenyewe asisitiza kuwa Uhuru Kenyatta...
Baadhi ya watu hawajamuelewa Uhuru kenyata,wanafiriki ni mkurupukaji kama maraisi wengine,ameona kinachotokea Libya cha waafrika kuteswa vibaya kwa kutafuta maisha bora,ndioa maana karuhusu watu...
Six people killed in planned revenge attacks in Kapedo between Turkana and Pokot
Editor's Choice | Saturday 2 Dec 2017 10:22 am
Standard Digital News - KTN Home: Six people killed in planned...
Wakenya Hamjambo?
Jana nimefuatilia katika vyombo mbali mbali vya habari Wakati Rais Uhuru alipoapishwa kuongoza tena Kenya. Nilifurahi alipotoa khotba yake na kueleza kwamba kwa sasa watu kutoka...
Kiongozi wa upinzani, RailaOdinga amesema wafuasi wake wataongeza kususia bidhaa za makampuni mengine zaidi ili kuangusha utawala wa Jubilee
Akiongea katika mazishi ya mmoja wa wafuasi wake...
Shirika la ndege la Kenya limewafukuza kazi wafanyakazi 140 kutoka kwenye idara yake ya kiufundi waliokuwa wamegoma kwa siku mbili wakishinikiza kupandishiwa malipo
Shirika hilo liliwaandikia...
Mabibi na mabwana leo hii nawaomba tulinganishe website za serikali katika jumuia yetu hii ya Africa mashariki, hususani mahasimu hawa wawili Tanzania na Kenya.
Tukianza na Portal za Serikali...
Nairobi, Kenya. Bunge la Kaunti ya Nairobi nchini Kenya limepitisha kwa kauli moja hoja ya kupiga marufuku makahaba kuendesha biashara zao jijini humo.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya...
Dah... Siasa unafiki tu, halafu mijitu tunacharangana mapanga kwa ujinga, sasa jamaa waanza majadiliano ya kimya kimya jinsi ya kugawana nyadhifa nyingi za kiserikali zikiwemo mabalozi, mawaziri...
Ten Kenyan banks that bailed out Kenya Airways (KQ) by converting their loans into shares Wednesday got an early boost after the national carrier’s capitalisation surged by Sh52.3 billion in the...
Mahakama ya Nakuru imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi miaka 10 jela kwa hatia ya kumnajisi mwanamfunzi wake mwenye umri wa miaka 7.
> Mwalimu Daniel Kirui Njuguna alimwagia manii Mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.