Gazeti limeandika na kuanika kwenye kichwa cha habari kwamba Magufuli akutana ikulu na wabakaji wa watoto walioachiwa kutoka kwenye magereza. Hivi hawa jamaa walibaka hao watoto wa umri wa miaka...
Jan 2, 2018
Nairobi, Kenya
SportPesa cancels all Kenya sponsorship
Leading Kenyan betting firm SportPesa has pulled out of all local sports sponsorship with immediate effect after it lost a court...
Mwalimu wa Shule ya msingi huko Rongo, kaunti ya Migori aliyejulikana kwa jina la Ruth Muga amejiua kwa kujinyonga kisa kikidaiwa kuwa ni wezi kuiba kuku wake 30.
Mwili wake ulikutwa ukining'inia...
Wameufyata?
Upinzani nchini Kenya wamesema baada ya mashauriano na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Kenya, wameona wasitishe shughuli yao ya kumuapisha Kiongozi wao Raila Odinga...
Imekua mwendo wa vioja, mikwara na matamko na kubadilisha gia angani.
We are aware that this will be a disappointment to Kenyans, Nasa says as it cancels planned swearing in
Wadau,
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kabarak nchini Kenya Mh Daniel Arap Moi amemteua rasmi Senator wa Baringo Gideon Moi kuwa Mkuu wa Chuo ( Pro- Chancellor) wa Chuo hicho.Katika barua ya uteuzi Rais...
Nakumatt’s woes deepen as Nanyuki branch evicted, stock thrown out on the street
Local News By Derrick Oluoch 55 minutes ago
Share this Story
Share on Telegram
Share on Whatsapp
The stock...
Deacons sinks deeper into losses, blames closure of Nakumatt outlets By Macharia Kamau | Published Thu, December 28th 2017 at 00:00, Updated December 27th 2017 at 22:50 GMT +3 SHARE THIS ARTICLE...
Mwanamkakati wa Muungano wa Vyama vya Upinzani nchini Kenya(NASA), David Ndii akamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi nchini humo.
> Msaidizi wa Odinga, Dennis Onyango amesema kuwa Ndii...
Waziri wa Afya, Cleopha Mailu amepiga marufuku uvutaji na uuzwaji wa shisha sababu ya madhara yake kiafya
Utafiti umeonyesha shisha ina kemikali zaidi ya 200 na ni hatari kuliko sigara
Kwenye...
Takribani watu 30 wamefariki dunia na wengine 17 wamejeruhiwa baada ya basi kugongana na Lori katika eneo la Migaa njia Kuu ya Nakuru kuelekea Eldoret
Mpaka sasa miili 28 imetolewa kwenye basi na...
The already-sullied reputation of some of Africa’s largest police forces is in for more beating.
Of 127 countries measured in the 2016 World Internal Security and Police Index, Nigeria’s police...
Mwenyekiti wa Chama cha Wenye Matatu. Dickson Mbugua aikejeli NTSA kupiga marufuku safari za usiku.
Akizungumza na waandishi wa habari, Bw, Mbugua amesema marufuku hiyo ni kinyume na azma ya...
Baada ya ajali mbaya ya matatu(daladala) kugongana na Lori hapo jana Jijini Nairobi, idadi ya vifo kwa mwezi Desemba 2017 pekee imefikia 242. Hii ina maana mtu mmoja alifariki kila baada ya saa 3...
The long-awaited Nakuru airport will now be situated near the Lanet military base.
Nakuru Governor Lee Kinyanjui on Sunday said the Lanet airstrip that has been serving the military will be...
I got an invitation from my friend, i visted her in dar es salaam, life is good, city is good too
Accommodation is easy to find, plenty of estate agents everywhere, prices for apartments range...
Baada ya tukio la juzi kwa Kenya kutokuhusika kwenye upigaji wa kura kwenye mswada wa Umoja wa Mataifa kuhusu uamuzi wa Marekani kwamba Jerusalem ndio mji mkuu wa Israel, Watanzania wametokwa povu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.