Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeweka ukomo wa matumizi ya fedha kwa wagombea urais katika uchaguzi wa 2027 kuwa zaidi ya Sh6.1 bilioni. Kwa mujibu wa kanuni mpya zilizochapishwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Watuhumiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya mwanasaikolojia wa kliniki Dkt Victoria Nthunya Mutiso wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, Jumatatu, Agosti 10, 2026. Watatu hao ni afisa wa...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amesema Rais wa China, Xi Jinping, alimweleza kuwa angeitembelea Kenya iwapo Kalonzo angechaguliwa kuwa Rais wa Kenya. Kalonzo alitoa kauli hiyo Jumatatu...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Rais William Ruto na Kiongozi wa Chama cha ODM, Oburu Oginga, wameongoza mkutano wa viongozi wa kisiasa unaohusishwa na mfumo wa Broad-Based Government mjini Naivasha, huku Kenya ikielekea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Evans Masaku Kasyoki, a former insurance employee, is accused of secretly taking out KSh 9 million in life insurance policies in the name of his 27-year-old nephew, Eric Makau Musyoka, without his...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
On August 1, 1982, Kenya experienced its first and only coup attempt. Junior officers of the Kenya Air Force seized radio stations and announced they had overthrown President Daniel arap Moi’s...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
  • Featured
Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Video inayosambaa mitandaoni imeibua mjadala kuhusu huduma za afya na utu baada ya mwanamke mjamzito kuonekana akiwa katika maumivu makali kando ya barabara eneo la Kahawa Wendani, Kiambu County...
2 Reactions
2 Replies
95 Views
Rais William Ruto jana, Agosti 6, 2026, aliwakutana na maafisa wa usalama binafsi zaidi ya 5,000 State House, ambapo aliahidi kubadilisha matumizi ya majina “watchman” na “guard” na kuwatambua...
2 Reactions
4 Replies
122 Views
Based on what is happening at the moment as Dangote is trying to invest in East Africa and what followed after, Tanzania and Kenya natural rivals are embrolled into a competition to host the...
2 Reactions
33 Replies
719 Views
  • Featured
Serikali imependekeza mageuzi makubwa katika mfumo wa ufadhili wa elimu ya juu kwa kufuta mfumo wa sasa wa ufadhili wa masomo (scholarships na grants) na kuubadilisha na mfumo ambapo wanafunzi...
4 Reactions
5 Replies
611 Views
Huku Kenya ikielekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wasiwasi kuhusu ongezeko la matamshi ya chuki na uchochezi wa kisiasa unaendelea kuongezeka, huku viongozi kadhaa wakikabiliwa na uchunguzi...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Aliyekuwa Diwani wa Chesikaki na mwanasiasa aliyekuwa ameonyesha nia ya kuwania kiti cha Ubunge wa Mt. Elgon mwaka 2027, Nathan Wasama Masai, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Mfanyabiashara mmoja kutoka Uganda ameomba msaada wa mamlaka za Kenya kufuatia madai kwamba hajalipwa fedha za mahindi aliyosambaza nchini karibu miaka mitatu iliyopita, licha ya bidhaa hizo...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Familia za vijana kutoka Mathare na Huruma zimefika hadi Bungeni kudai majibu kuhusu wapendwa wao waliotoweka katika mazingira yasiyoeleweka. Juni 18, 2026: Joel Kariuki Mwai, mfanyabiashara na...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Ndoto ya watoto wa Uasin Gishu kusoma Finland na Canada imegeuka kuwa kilio kwa wazazi waliolipa mamilioni ya fedha kupitia mpango wa masomo wa kaunti. Baadhi ya wanafunzi walifika Finland lakini...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Ukarabati unaoendelea kwenye Barabara ya Kasarani–Mwiki umeibua maoni tofauti kutoka kwa wakazi, huku wengi wakitaka serikali kuweka kipaumbele katika kutengeneza barabara yenyewe kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mzozo wa kifedha unaohusisha First Assurance Investment Company Limited umegeuka kuwa kesi kubwa ya jinai baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kuwafungulia mashtaka Wakurugenzi Wakuu wa...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…