Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro...
Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya watu 6 wakiwemo maafisa wa polisi 3 wakiongozwa na mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini...
Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na...
Familia ya Mpanda Mlima kutoka Kenya, Joshua Cheruiyot Kirui, ambaye alifariki dunia akipanda Mlima Everest Mei 22, imesema Mwili huo utaachwa alikofia kutokana na gharama na hatari zinazohusishwa...
Boniface Mwangi Kariuki, mfanyabiashara wa umri wa miaka 22, ambaye alipigwa risasi kwa umbali mfupi katika CBD ya Nairobi wakati wa maandamano ya Jumanne, yupo katika utaratibu wa kupona Kenyatta...
Maandamano yakiwa yanaendelea huko Kenya ya wanachi wakidai kupatikana haki ya Albert Ojwang ambaye alifariki akiwa gerezani baada ya kupigwa na moja ya askari, katika hali hiyo video hii...
Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya...
Familia za waathiriwa wa mauaji yaliyotekelezwa na polisi wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana dhidi ya Muswada wa Fedha (Finance Bill) mwaka jana, zimetangaza kufanya maandamano ya amani...
Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma...
Oya Gen Z nimesikia mshua anataka kupeperusha bendera ya Kenya 2027 amtoe kitini Kasongo/ Zakayo. Ni kweli wanetu?
Je mshua ataweza mafyadefyade ya wanasiasa,angekaa zake akachili akapiga...
Naibu Inspekta Jenerali aliyeandamwa na tuhuma, Eliud Lagat, ametoa maelezo kwa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) kuhusiana na kifo cha mwalimu Albert Ojwang’.
Awali, Lagat...
Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi...
Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea...
Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae...
Mamlaka Huru ya Uangalizi wa Polisi (IPOA) imemuita Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, kuhojiwa kuhusiana na kifo cha mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang, aliyefariki akiwa kizuizini...
KONSTABO James Mukhwana, ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang’, hatimaye amevunja ukimya na kufichua kwa kina kilichotokea usiku wa...
Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua...