Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Malik Obama, kaka yake Barrack Obama, ameikashifu Kenya kwa anachokiita unafiki - Malik anadai kuwa, Kenya inatawaliwa na kabila moja, Kikuyu - Analinganisha hilo kwa kupewa jina barabara ya...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Nairobi, Kenya. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kukutana na wapinzani kutoka muungano wa Nasa lakini akasema atakuwa tayari kufanya hivyo iwapo mazungumzo yao yatakuwa na lengo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee, imetokea wikendi hii ndani ya hoteli moja hapa jijini..wazee wa kuchepuka bora tubaki kwenye njia kuu mazee
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Kiongozi wa upinzani bungeni John Mbandi, aliondolewa bungeni na spika baada ya kusema Kenya haina rais Mbandi alikuwa akichangia mjadala aliposema ''Ndugu Spika huu mjadala unaoendela unaeleza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanaharakati wa haki za binadamu wanasema kuwa vikosi vya usalama nchini Kenya vilitekeleza vitendo vya ukatili wa kingono wakati na baada ya uchaguzi wa urais wa mwezi Agosti. Shirika la haki za...
0 Reactions
4 Replies
848 Views
Kwa miaka kadhaa Tanzania imekua ikiongoza Kenya na Africa nzima kwa uzaaalishaji wa sisal, mwaka huu baada ya kupatwa na ukame, hali ya anga ilirudi salama, na kwa mara ya kwanza kwa miaka mingi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Amelaani vikali hayo mauaji na kutuma rambirambi kwa jamaa na marafiki wa waliouawa na kwa rais Magufuli na kwa Watanzania wote. Amesema anaunga mkono jitihada zote za kuleta amani ya kudumu huko...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
A CABLE CAR SYSTEM IN EAST LONDON. AFP PHOTO | BEN STANSALL The Sh5.8 billion cable car project at the busy Likoni channel has moved closer to reality after the completion of a concession...
3 Reactions
4 Replies
818 Views
Watu zaidi ya 20 wamefariki kwenye ajali iliyohusisha zaidi ya magari 10 kwenye eneo hatari la Sachangwan kwenye barabara kuu ya Nakuru - Eldoret Taarifa zinaonyesha dereva wa lori lililokuwa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Tume ya utumishi wa walimu imewafuta kazi wamefutwa kazi kutokana na tuhuma za mwenendo mbaya ikiwemo kufanya ngono na wanafunzi Walimu wengi walikuwa ni wanaume ambao walifutwa kabisa kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
John Gitau Wairimu who is the first Kenyan to graduate with a master’s degree in Nuclear medicine (Photo: Courtesy) A Kenyan living in the US has joined an elite rank of students to become the...
4 Reactions
1 Replies
967 Views
Wizara ya Afya inapanga kuzuia mauzo ya Dawa za kutibu ugonjwa wa Malaria aina ya DUO-COTECXIN ambazo hutumika zaidi nchini humo. > Hatua hii ya Wizara inakuja baada ya dawa hizo kushindwa...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti! Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia...
13 Reactions
79 Replies
7K Views
Latest closure leaves Nakumatt with single branch in Tanzania Sunday December 10 2017 Former East African Community secretary-general Richard Sezibera (left) with Nakumatt MD Atul Shah at the...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Let me pay the price of treason, inaugruation still on – Raila declares tuko.co.ke Dec 9, 2017 7:15 AM - NASA leader Raila Odinga on Friday, December 8 told members of the diplomatic community...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Maafisa wa upelelezi kutoka taasisi ya kupambana na rushwa, EACC (Ethics and Ant-corruption commission) siku ya jumatatu wamemkamata Afisa Mwandamizi wa mamlaka ya Mapato nchini Kenya kwa rushwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ameyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu ''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''...
16 Reactions
97 Replies
7K Views
East Africa’s intra-regional trade has declined for the second year in a row, due to the failure by partner states to agree on trade liberalisation and integration. These hitches are eroding the...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
FDI IN EAST AFRICA INCREASES BY 4.2% Posted 2017-12-12 by Corporate Digest The foreign direct investment in East Africa increased by 4.2 per cent in 2016, as partner states remained optimistic...
0 Reactions
5 Replies
755 Views
Back
Top Bottom