Wana JF kuna mmoja anapunguza ndege na kuna mwingine anaongeza ndege hii imekaaje?
Hii ina tofauti na wale wanaotamani kuikimbia ndoa na wengine wanataka kuingia kwenye...
The number of Kenyans with more than Sh100,000 as savings in their bank accounts has dropped for the first time in more than 13 years, reflecting the cash flow problems in an economy plagued by...
Baada ya Dangote kuzidua kiwanda Tz, hatukulala humu, nyuzi zilianzishwa na misifa, tambo zilirindima, sasa sijui kulikoni maana naona anavurugwa kupita maelezo.
--------------------
Hardly five...
Kikosi cha wanariadha 47 watakaowakilisha Kenya kwenye IAAF World Championship kule Doha, Qatar kimetajwa. Hii ni baada ya ushindani mkali kati ya wanariadha ili wafuzu kujiunga na Team Kenya na...
Kila siku tunawaambia humu adui wa maendeleo Tz ni nyie wenyewe na ushirikina wenu, hadi Rais anaeleza mlivyomsumbua enzi zake akiwa waziri, kila akijenga daraja mnaliroga mpaka ikabidi akatambike...
Rutto asipoteze muda wake bure,hataweza kupenya hii Ngome mambo yameanza kupikwa viungo mbalimbali vimeshaandaliwa Rutto asifikiri kila akukenuliae yuko na wewe.
Karata zimeshaanza kupangwa.
Huu...
https://www.kahawatungu.com/2019/10/07/kenyas-public-debt-2019-ksh5-8-trillion/
Huitaji kwenda shule ili ujue kwamba uchumi wa Kenya umesambaratika, ni wazi kwamba Jubilee wameshindwa kuiongoza...
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??
Madeni kibao
Gharama kubwa za maisha
Ugumu wa maisha ulopitiliza
Nchi iliyokwisha matumaini
Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa...
Tukiweka ushabiki kando wa Kenya na Tanzania, ni wazi kwamba wakenya wengi wanaikubali sana Tanzania, hii inathibitishwa na jinsi wakenya wengi hasa wale wasomi wanavyoizungumza Tanzania katika...
Shirika la kimarekani linalohusika na masuala ya afya na lenye ofisi kwenye mataifa mbali mbali duniani ikiwemo Tanzania, limetoa tahadhari kwa wasafiri wote wanaokwenda Tanzania, Wameshauri...
Total has officially suspended all activities of Uganda-Tabzania oil pipeline. All suppliers and constructors has been notified to halt all EACOP project activities. All the reasons for the...
Hii video inaonyesha mazingira ya watu masikini sawa na Kibera kule Kenya, bado Tanzania ni masikini kama ilivyo Kenya na nchi zingine za Afrika.
Kuna tofauti kubwa sana ya mazingira ya masikini...
Kwenye ukuaji wa utalii, Tanzania iko nyuma ya Kenya, Ethiopia, Afrika Kusini, Mauritius, Seychelles, Botswana na Namibia kwa mujibu wa ripoti ya The Travel and Tourism Competitive Index 2019...
Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale...
Kenya inazidi kunoga katika rank ya failed states ulimwenguni, katika hali ambayo Kenya inatajwa kwamba ni kati ya nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ombwe kubwa la majobless wasio na uhakika wa...
Huyu dada sijui kipi alfanyiwa kule Tanzania, maana kwa kweli alikua ameshushwa hadi sakafuni, ila Wakenya tulimpa hifadhi haswa kipindi alikua anaumwa na kumsaidia kwa kila hali.
Enzi zake alikua...