Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya kukutwa wakifanya mkutano wa siri. Maafisa hao wamekamatwa katika kaunti za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amekataa kumpa fursa Naibu wake kuhutubia taifa katika maadhimisho ya Siku ya Madaraka, Juni Mosi, 2022 Hii ni mara ya kwanza Ruto amekosa kupewa fursa ya kuhutubia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kenya leo linatekeleza shughuli muhimu ya kikatiba ya kumuapisha kiongozi wa taifa hilo Kufuatia ushindi wake wa marudio ya uchaguzi wa Oktoba 26 uliosusiwa na upinzani. Uhuru Kenyatta leo...
2 Reactions
70 Replies
16K Views
Raia 11 wamesema uapisho wa William Ruto na Rigathi Gachagua utakua ni ukiukwaji wa Katiba ya Nchi yao hivyo kuwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu nchini humo kuzuia kuapishwa kwao iwapo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Maisha ni safari ndefu sana "Never say never" Hatimaye vingunge wawili nchini Kenya Mh. Rais Uhuru Kenyatta na mtunduizi RAO (Raila Amollo Odinga) wanakutana huko PWANI kupanga mipango ya kwenda...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni. Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho. Nampongeza na...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Uhuru Turaireta mweimeti Meru.. Turaireta mweimeti Taraka Nyiti..
3 Reactions
95 Replies
9K Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya imeahirisha uchaguzi wa gavana wa Mombasa na Kakamega pamoja wabunge wa Kacheliba na Pokot Kusini baada ya karatasi za kupigia kura kuonekana...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
May 17, 2020 By John Njoroge, Nairobi, Dr. Magufuli spent years as a chemical lab expert as seen in this old photo of him. He is the only scientist President in the EAC so is his unique...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Mzuka wanajamvi! Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji hamsini. Lakini ilipowadia muda wa wagombea hao kuwasilisha maombi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imesitisha Uchaguzi wa Ugavana katika Kaunti za Kakamega na Mombasa, kutokana na makosa ya uchapishaji kwenye karatasi za kupigia kura Pia, Uchaguzi wa Wabunge...
1 Reactions
1 Replies
835 Views
Wasimamizi 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wamefukuzwa kwa madai ya kukutana na Mgombea nyumbani kwa mgombea huyo huko Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay Maafisa hao wanadaiwa walikuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa miaka zaidi ya 60 (miongo 6/6 decades) familia hizi zimekuwa zikiitawala Kenya Kisiasa na Kiuchumi! Hawa wote kazi yao ni moja tu, kuiba mali za Wakenya na kucontrol Serikali ili kuhakikisha...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…