Kenya 2022 Kwa ninayoona tume ya Uchaguzi ya Kenya, basi sishauri sisi Wapinzani tushiriki Uchaguzi tena

Kenya 2022 General Election

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,472
8,692
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo simamia uchaguzi.

Kwa hii NEC kuitoa CCM ni ndoto za mchana.

NEC haiwezi ruhusu Parallel tallying na hata CCM hawezi kubali NEC wafanye kitu kama hicho.

Screenshot_20220808_205645_com.twitter.android.jpg
 
Na ndiyo maana wanasonga mbele DAIMA sisi tunasonga nyuma DAIMA. Si kwenye siasa tu, Bali kwa kila kitu. Hata Raisi wetu wa wakati ule BWM (Rip), aliwahi kutamka kuwa "wakenya sisi jatuwawezi'. Ilikuwa wakati anafungua maonyesho ya saba saba, alipofika kwenye banda lao, alikabidhiwa Dairy ya mwaka ujao
Maana yake ni kuwa, sisi tutakapofikiria kutengeneza dairy wao ziko soko tayari.
 
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo simamia uchaguzi.

Kwa hii NEC kuitoa CCM ni ndoto za mchana.

NEC haiwezi ruhusu Parallel tallying na hata CCM hawezi kubali NEC wafanye kitu kama hicho.View attachment 2318361
Hii tume ya uchaguzi kenya imeanza na "independent" katika jina lake. Wenzetu wameunda tume yao katika mchakato mahsusi wa mijadala iliyo wazi na ya kidemokrasia. Ilitokana na michakato iliyohusisha wasomi wabobezi katika sheria na siasa na hatimaye raia wa kawaida. Ni tume mahili ya kuigwa na wapenda demokrasia.
 
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo simamia uchaguzi.

Kwa hii NEC kuitoa CCM ni ndoto za mchana.

NEC haiwezi ruhusu Parallel tallying na hata CCM hawezi kubali NEC wafanye kitu kama hicho.View attachment 2318361

Bila machafuko hapa nchini kwetu tusitegemee kufikia siasa za ushindani halisi kama Kenya.
 
Ukabila hata hapa upo japo hauwekwi wazi moja kwa moja. Hapa kwetu ujinga na ukondoo uliopo ni zaidi ya ukabila.
Katiba ya kenya ina vipengele mahsusi kuainisha regional balance katika mgao wa bajeti, teuzi nk. Ukilundika watu wa kabila lako katika teuzi unabuluzwa mahakamani. Na kweli teuzi nyingi zimebatilishwa kwa kuegemea ukabila. Angalau wenzetu wameunda katiba na mifumo thabiti ya utawala bora ingawaje kwa asili ya binadamu bado wanayo mapungufu ktk utekelezaji.
 
Ni kweli, na Kenya bado wako mbele yetu sana sisi.
 
Itachukua muda sana kwa sisi watz kuwafikia wakenya kwa viwango vya demokrasia practically .Kwa tz inashangaza viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanakuwa wateule wa Rais ambaye pia anakuwa mgombea obviously lazima watakuwa royal kwa aliyewapa vyeo.Kama walio madarakani wanaona kufanya marekebisho ya katiba ambayo itazaa tume huru kitendo hicho kitahatarisha maslahi ni bora mambo ya uchaguzi kila baada ya miaka mitano tungeachana nayo kuliko hizo comedy za kila baada ya miaka mitano tuna tunaharibu hela tu
 
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo simamia uchaguzi.

Kwa hii NEC kuitoa CCM ni ndoto za mchana.

NEC haiwezi ruhusu Parallel tallying na hata CCM hawezi kubali NEC wafanye kitu kama hicho.View attachment 2318361

Kushiriki uchaguzi wa hapa Tanzania ambao rais anaweza kuamua nani atangazwe mshindi ni kupoteza muda tu. Bila machafuko tusitegemee box la kura kuheshimiwa tena. Nimeongea na kushawishi watu wengi kutokushiriki tena hizi chaguzi za kipuuzi, na kama ni mbinu mbadala bora machafuko yatokee ili tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom