Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Jioni ya leo, Mgombea Urais wa Kenya Ruto, ameonekana mwenye tabasamu muda wote. Ni baada ya kukutana na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Twitter imeanzisha kipengele cha kuripoti matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiyo rasmi yanayowekwa na wafuasi na kambi mbili za wagombea Urais Kenya Taarifa itaonekana chini ya matokeo ya kura...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewatoa hofu wananchi juu ya uwepo taarifa kwamba mifumo yake ya Kura imedukuliwa. Mkurugenzi Mtendaji wa IEBC, Marjan Hussein Marjan amesema taarifa...
1 Reactions
1 Replies
719 Views
Afisi ya Rais Harambee House Nairobi, Kenya Mkuu wa Utumishi wa Umma, kufuatia uchaguzi mkuu anatoa mwongozo unaoainishwa kikatiba jinsi mambo ya kukabidhiana ofisi ya Urais mara IEBC...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais mstaafu mzee Kikwete amefurahishwa na Ushindi wa baadhi ya wagombea binafsi wa nafasi za juu katika Uchaguzi wa Kenya Vyama vya siasa vinaweza kuwanyima fursa watu wanaohitajika na kupendwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Hakuna mgombea aliyezuiliwa kuchukua fomu za uchaguzi kama katimiza vigezo. 2. Hakuna mgombea aliyekosea kujaza fomu. 3. Hakuna Afisa uchaguzi aliejifungia ndani au kukimbia na kutelekeza...
33 Reactions
36 Replies
3K Views
Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Aliyekuwa Diwani wa Wadi ya Sirikwa (MCA) Alfred Mutai amenyakua kiti cha ubunge cha Kuresoi Kaskazini katika uchaguzi uliofanyika Jumanne, Agosti 9. Mutai, ambaye alikuwa akiwania Ubunge kwa...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Utaratibu wa upatikinaji wa Viti maalum Ubunge vya Wanawake Kenya upoje? Wadau, Katiba ya Kenya na sheria ya uchaguzi imeweka utaratibu upi wa upatikanaji wa wagombea wa viti maalum wanawake.
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Tony254 Nicxie @dyfre Don YF NairobiWalker
3 Reactions
0 Replies
518 Views
Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa Udhaifu ninaoushuhudia...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa matokeo ambayo yametangazwa hadi kufikia leo, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amepata Wabunge 134 ambapo 88 wanatoka chama chake ODM. Kwa upande wa Dr. Ruto wa United Democratic...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya...
4 Reactions
94 Replies
8K Views
Polisi nchini Afrika Kusini wamewatia mbaroni watu 20 wanaoshukiwa kuanzisha machafuko ya Julai 2021 yaliyopinga kukamatwa kwa Rais Mstaafu Jacob Zuma. Takriban watu 350 waliuawa kwenye machafuko...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Wakenya lazima wawe na subira. Hakuna njia nyingine ama sivyo inaweza kutokea vurugu wakiwa impatient. Kuchelewa kutangazwa matokeo does not necessarily mean kwamba kuna mtu anataka kuiba kura...
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Didmus Barasa amechaguliwa tena kuwa Mbunge wa Kimilili baada ya kupata kura 26,000 akimshinda mpinzani wake wa DAP-K Brian Khaemba aliyepata kura 9,000. Barasa aliyegombea kupitia UDA, anadaiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uhuru wa kila mtu kutoa matokeo ya uchaguzi umedhihirisha aibu na fedheha kwa wapenda Demokrasia na wachambuzi wa masuala ya Siasa barani Afrika na Duniani kote. Tume ya Uchaguzi ndio inapaswa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom