Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Ni kauli iliyothibitishwa na Rais #WilliamRuto wakati akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa ambapo amesema Serikali yake imefikia makubaliano na Kampuni ya #META kuwalipa wabunifu wa...
2 Reactions
2 Replies
657 Views
Jana Jumapili jioni 10/12/2023 Kenya ilikumbwa na mgao ulioathiri nchi nzima na kusababisha huduma kusimama katika sehemu zote za nchi. Tatizo hilo lilianza majira ya saa mbili usiku na ilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
655 Views
Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyikazi (COTU), Francis Atwoli amewashukia Wakenya wanaolalamika kuhusu Kupanda kwa gharama za Maisha na Kodi, akisema Ruto alikuwa wazi kuwa anataka...
0 Reactions
9 Replies
693 Views
Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri...
1 Reactions
4 Replies
331 Views
Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya...
0 Reactions
4 Replies
843 Views
Jennifer Gitiri ameshtakiwa kwa kushikilia nafasi nono kadhaa za kazi za umma She is: Acting CEO, Council of Legal Education. Acting Secretary, Council of Legal Education Deputy Director, Assets...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Katika nchi za east africa, Kenya ndio inaongoza kuzamia marekani kuzidi nchi yoyote ile east africa ikifwatiwa na Uganda! Nashukuruh sana watanzania hawana sana shobo na marekani kama majirani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
1 Reactions
5 Replies
441 Views
Rais William Ruto ameendelea kufafanua safari zake za mara kwa mara za nje ambazo zimezua kejeli kutoka kwa baadhi ya Wakenya. Akiwa katika ibada ya kanisa huko Kimende, Kaunti ya Kiambu siku ya...
1 Reactions
3 Replies
631 Views
Beautiful town. Fourth largest in Kenya
8 Reactions
83 Replies
9K Views
Wiki ijayo ninatarajia kwenda Mombasa nchini Kenya. Nipo Mwanza, na nitavukia mpaka wa Sirari. Naombeni mwongozo kwa wenyeji na wazoefu: 1. Ni muda gani mzur kusafiri kutoka Sirari kwenda...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika 17 Julai 2018 Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp Image...
2 Reactions
99 Replies
6K Views
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Chagua amewakosoa Magavana wa maeneo yaliyokumbwa na Mafuriko nchini humo na kueleza kuwa hajaridhishwa na hatua wanazochukua ili kukabiliana na janga hilo lililoua...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo...
1 Reactions
3 Replies
994 Views
Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika...
1 Reactions
9 Replies
602 Views
Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia...
0 Reactions
9 Replies
602 Views
Mwanaharakati wa ODM, Nuru Maloba Okanga, ameshtakiwa kwa kumtusi Rais William Ruto kupitia akaunti yake ya YouTube. Okanga alifika mbele ya Hakimu Mkuu wa Milimani, Lucas Onyina, ambapo alikana...
1 Reactions
3 Replies
312 Views
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa...
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Mahakama ilisema kuwa ushuru huo ni kinyume cha sheria na haueleweki na kwamba hakuna sheria inayoruhusu Mamlaka ya Ushuru nchini (KRA) kuzikusanya. Mahakama pia iligundua kuwa ushuru huo ulikuwa...
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Back
Top Bottom