Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Well…well…well! It’s deja vu all over again 🤣. This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point]. Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa...
2 Reactions
16 Replies
854 Views
Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana...
1 Reactions
10 Replies
893 Views
Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana. Omondi alifika nje ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
https://www.youtube.com/watch?v=HBNa9fVrapk Waandamanaji wanaendelea kuandamana kwa kuwasha moto katika Barabara ya kuelekea mzunguko wa Holy Basilica, karibu na Majengo ya Bunge. Licha ya...
1 Reactions
1 Replies
670 Views
NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada...
0 Reactions
3 Replies
703 Views
Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa. Linapokuja suala la...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia...
6 Reactions
13 Replies
524 Views
Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida. Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha...
2 Reactions
17 Replies
924 Views
Kenya yajitutumua , Ethiopia yasimama, Tanzania yangangana. Afrika Mashariki yapaa. https://www.youtube.com/watch?v=PbplBoFAX14
1 Reactions
4 Replies
671 Views
Waziri wa Fedha wa Kenya amenusurika kupigwa na Mmachinga ( juakali) mara Baada ya kumaliza kusoma Bajeti na Kutoka nje ya Bunge kupiga picha na Wasaidizi wake Police walifanikiwa kumkamata...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu. Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula...
1 Reactions
5 Replies
592 Views
Shirika la reli linalosimamia usafiri wa mfumo mpya wa SGR linatazamia kuongeza treni baada ya wasafiri kuwa wengi hadi kupitikiza walizokua wametoa mwanzo. Ina maana kwamba Wakenya wamepokea huu...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Hili tukio limetokea jana. NAIROBI, Kenya, Jun 18 – A police officer lost both his fore arms Tuesday during the anti-Finance Bill when a teargas canister exploded on his hands. Police said the...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Uganda has announced the start of construction of the Standard Gauge Railway (SGR) in August, in a decision that revives hope for the extension of Kenya’s Sh327 billion project whose viability was...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbunge kutoka Mberee Kaskazini, bwana Geoffrey Ruku amewasilisha Bungeni, muswada utakaowezesha Wakenya kufungwa kwa mwaka mmoja, faini ya Tsh. 2,000,000 (Ksh. 100,00) au vyote kwa pamoja kw...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
More than 200 protesters have been arrested in Kenya’s capital, Nairobi, in ongoing protests against proposed tax hikes in a finance bill that is due to be tabled in parliament. Civil society...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Mpambano wa majiji makubwa Afrika Mashariki. Jiji lipi ni bora?? https://youtu.be/7eT-_d8LYbg?si=MhjPG23SbkxYbMS_
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…