Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na...
11 Reactions
65 Replies
22K Views
By expert!! Designing axial loads for road construction involves several steps to ensure the pavement structure can withstand the expected traffic loads over its lifespan. Here’s an overview of...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Msaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini. Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo. Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona...
0 Reactions
4 Replies
603 Views
NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE KILA SEKONDARI YA KATA UNAENDELEA VIZURI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 kwa sasa lina Sekondari 26 za Kata na 2 za Madhehebu ya Dini...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi...
0 Reactions
3 Replies
414 Views
Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
13 Reactions
66 Replies
7K Views
Image source: Pinterest Nyumba si gereza. Kutokana na mfumo wa ujenzi wa sasa ambapo tunaweka chuma kila dirisha na baadae tunavisha madirisha ya vioo (Aliminium) ni mihumu kuweka dirisha la...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
6 Reactions
93 Replies
5K Views
MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa...
1 Reactions
0 Replies
391 Views
MAKALA YA 9 Leo tuangazie janga ambalo limekuwa likitokea katika nchi yetu kila baada ya miaka kadhaa. Kuanguka kwa Majengo 1.Sababu kuu za Kuanguka kwa Majengo ni kama zifuatazo MSINGI WA JENGO...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7, nina kiwanja Kibaha, naomba ushauri kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, choo na sebule? Mwenye mawazo ya bajeti hii na...
2 Reactions
161 Replies
44K Views
KIPAUMBELE CHA SERIKALI KWA SASA NI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MSINGI ILI KUONGEZA UDAHILI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema...
1 Reactions
0 Replies
268 Views
MIKUTANO YA HADHARA NA HARAMBEE ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI Wito: Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameombwa na wananchi wa baadhi za kata aungane nao...
1 Reactions
1 Replies
409 Views
UFAFANUZI WA HOJA YA GHARAMA ZA MRADI KWA KIPANDE CHA 3 NA 4 CHA SGR KWA WASTANI WA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 1.3 NA MILIONI 1.6 MTAWALIA NA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI YA TSH. TRILIONI 1.7...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
2 Reactions
6 Replies
602 Views
Mzee wangu amenipa eneo la kujenga.. Mm ni kijana na mtt wa kwanza miaka 28. Nimepata kazi ya kujitolea katika taasisi ya umma lakini kwenye suala la malipo yanachelewa hata miezi 3 ila wakilipa...
4 Reactions
19 Replies
855 Views
Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii...
1 Reactions
4 Replies
813 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…