Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu
KAMA UNAHITAJI.
Ramani
Hesabu ya ujenzi (BOQ)
Garden design
Fence na aina zake zote ninatengeneza.
Namba...
PONGEZI KWA MHE. SEIF KHAMIS GULAMALI, MBUNGE WA JIMBO LA MANONGA KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA SHULE YA SEKONDARI YA TAMBALALE MILIONI 800
Pongezi kwa Mhe. Seif Khamis Gulamali, Mbunge wa Jimbo la...
Wazee natafuta fundi ujenzi anayeweza kufanya kazi inayoeleweka sio kuja kuharibu kazi maana pesa inatumika nipo serious wazee anayeweza kazi aje pm kazi ipo dar
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa...
Bado tunatoa huduma ya ujenzi kwa teams ya #mkopo nirahisi na nafuu sana #irbag company reg no 140-016-446 inatoa huduma za ujenzi tu kwa teams ya #mkopo tunajenga unaishi unalipa taratibu mpaka...
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama...
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao...
Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye...
Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa...
Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto.
Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna...
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha...
Habar wakuu nahitaji kiwanja dar cha sqm800 kwa Dar maeneo yapi mazuri yamepangika vizur ambayo sio ushwahilini.
Hiwe rahisi kwa mishe ya mjini buget yangu ni 15m
Ndugu wanajamvi.
Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na...
Habari za wakati huu wana jf,
Hivi Kiwanja chenye square meters 290 kinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu, dinning, sebule, kitchen na public toilet?