Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Fundi umeme wa uwakika mwenye uzoefu na kazi kwa kiwango nipo hapa boss wangu karibu sana unipe kazi. Nafanya kazi kwa gharama ya kawaida na kazi bora na uwaminifu mkubwa sana. Kwanz nakusikiliza...
0 Reactions
7 Replies
535 Views
Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza. Mradi...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Mkuu anayeweza kuifanya hiyo design au anayejua fundi. Ajitokeze
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni Kama Maisha ya Watu yanawekwa hatirini !. Chuma ya Wachina ni Dhaifu sana, na imeminywa Vipimo , Kwa Mchina yeye kuzalisha Tani nyingi Kwa Gharama ndogo ili kupata Faida Kubwa ni Bora kuliko...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
3 Reactions
83 Replies
3K Views
Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,, 1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
35 Reactions
1K Replies
196K Views
Kiwanja Kinauzwa Kibaha-Visiga(Kwa daladala Unashuka Kwa kipofu au madafu kwani kipo Kati ya vituo hivyo viwili. Eneo la kiwanja ni Mita za mraba 408, Huduma zote muhimu zipo kama maji,Umeme...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Fundi kanitumia hii bajeti ya kuchimba shimo la choo, wataalamu wa ujenzi hii iko sawa?
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kiwanja Chenye eneo la Mita za mraba 408 Kinauzwa sh.Milioni 3.7 Kipo Visiga madafu(Kwa usafiri wa daradara Unashuka Kwa kipofu au madafu Kwani eneo lipo Kati ya vituo hvyo viwili) ,umbali wa...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi. 1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI. Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa...
8 Reactions
10 Replies
3K Views
Tuelimishane kuhusu uchimbaji wa kisima cha kisasa na hatua zake borehole drilling ✅hatua ya kwanza ni ufanyaji wa utafiti geophysical investigation hatua hii ni kupima eneo husika kama kuna...
2 Reactions
2 Replies
482 Views
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane...
10 Reactions
91 Replies
11K Views
Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu KAMA UNAHITAJI. Ramani Hesabu ya ujenzi (BOQ) Garden design Fence na aina zake zote ninatengeneza. Namba...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ramani ya apartment mbili zenye, Sebule, small kitchen na master bed room kila moja katika eneo la mita 6 kwa 8 tu....call 0686970690 kwa information zaidi
1 Reactions
2 Replies
606 Views
SHULE YA CCM MBEYA YAMUOMBA RAIS SAMIA TZS 40 MILIONI KUKAMILISHA UJENZI WA MAABARA Uongozi wa Shule ya Sekondari Ivumwe, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Kwema wakuu...! Naomba kufahamishwa Mashine ndogo ya kuchuja maji safi Kwa matumizi ya kawaida nyumbani aina zake na Gharama zake NatanguIiza shukrani
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Back
Top Bottom