Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habari wanaJF..
Naomba ufafanuzi wa kisheria katika hili...
story ina mlolongo mrefu sana, ila naomba niandike kwa kifupi sana ili muweze kunielewa nahitaji nini hasa..
Baba alipofariki miaka...
Do we have a data privacy Act or any other laws dealing with Data Protection in Tanzania?
If "YES" please i would love to get a copy and if "NO" then how do we deal with Data Privacy issue in...
Mwezi mmoja uliopita jeshi la polisi lilitangaza kukamatwa kwa magunia tisini ya bangi na ushahidi wa picha ulikuwepo
chakushangaza ni hayo magunia yalikua tisini pindi walipoyakamata,muda huu...
Wana JF, kesi inayomkabili Lwakatare haina tofauti na Ludovick. Hukumu atakayopewa Lwakatare lazima pia iwe sawa na Ludovick.
Kama kweli Ludovick katumiwa na mzee wa mipango aitwae Magulu...
naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.
Tanga. Hatimaye, wahamiaji haramu 47 wa Ethiopia waliokamatwa wakiwa wanasafirishwa ndani ya makontena, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya...
KWA UFUPI
Mwanamke ambaye ni ndugu wa washtakiwa hao, alionekana kama mtu aliyepandwa mashetani na kutaka kumvamia askari wa kike ambaye katika kujihami alimpiga ngumi, kisha watu wakafanikiwa...
Wakuu hata kama Lwakatare atafunguliwa kesi uwezekano wa serikali kushinda ni mdogo sana, soma hapa chini.
A Youtube picture/video by itself is not enough to win your case. If you cannot prove...
Nimekuwa nikisikia kila mara madiwani wa halmashauri fulani wamemwazimia mtumishi fulani tena maeneo mengine madiwani wamemkataa mtumishi fulani labda mkurugenzi au yeyote. Najiuliza kama hivyo...
Peter Serukamba.
KWA UFUPI
Kutokana na kazi kushindwa kufanyika kwa wakati hasa kutokana na zuio la wananchi mahakamani.
Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wanakusudia...
Je ni kosa kuendesha gari ambalo kioo cha mbele kina Crack (ndogo) ? maana nasumbuliwa sana kwa hili... je wale ambao wameweka ribbon kama urembo kuuficha hiyo crack mbona hawasimamishwi?
Habari wana jamvi.
Naomba kupata mchanganuo wa jinsi sheria inavyo weza kumlinda mwanachi wa kawaida kuhusu hili.
Makampuni ya simu yamekuwa yakifanya wizi ambao unaonekana wazi ama usumbufu...
Ninaitaji msaada wa kisheria tafadhali je endapo umeishi na mwanaume kwa mda wa miezi 8 pasipo kufunga ndoa na katika kuishi kwenu kuwepo na haadi za kufunga ndoa hapo baadae lakini ikatoea...