Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Ninakesi ya madai iko mahakama ya wilaya ilala,msimamizi wa mirathi ameuza kiwanja cha mirathi,baada ya kupeleka malalamiko mahakani anasema alishafanya mgawo wakati sio kweli,inventory anasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku. Leo nimekuja nikiwa na swali moja kuu. Kutoka kwenu naomba msaada wa kujua nini maana ya Jinai? na ni yapi hasa ni makosa ya jinai? Je kuna makasoa maalumu ambayo...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona! Natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Ndugu wana JF, nilikuwa nahitaji kujua je sheria ya Tanzania inaongelea lolote kuhusu maswala ya privacy na data protection. Naomba msaada kutoka kwa kila mwenye ufahamu Ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba kuelimishwa hasa kwa wale ambao ni wanasheria je ni taratibu gani zinapaswa kufwatwa ili kumshitaki kiongozi katika mahakama ya kimataifa ya The Hague? Je ni nani mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mama jirani yetu kamuibulia mama yetu madai anamuibia mumewe bila ya kuwa na ushahidi wowote. Na kutokana na hilo amewapigia simu watoto wake na kuwapa uongo huo,hatimaye watoto wa yule mama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya upande wa utetezi kuwasilisha ombi la mshatikiwa Omar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi everyone, l have been asking myself that, how does law help the people who needs it and at the same they don’t have money to pay to the lawyers? Why do we have laws? What is the purpose of...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Ndugu wana JF, limekua ni suala linalokera sana, unapokutana na traffic, kwanza atajidai kuangalia road licence, insurance nk nk, baadae anakuambia naomba driving licence. Ukishamkabidhi ataanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Endapo wachumba (watu wazima zaidi ya miaka 18) wamefunga ndoa ya kiserikali kwa siri (bila ndugu wa pande zote kutaarifiwa), ikiwa ni shinikizo/sharti la mchumba wa kiume, kwamba ili atoe...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Wanajf habari zenu? Hope mko poa. Naomba kujuzwa juu ya hili,kama mtu alikua mkristo,akafunga ndoa ya kanisani baadae akabadili dini na kua muislam..je,ile ndoa yake ya kikristo bado inakua...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
A Saudi court has ordered the severing of a local man’s leg after he caused the amputation of the leg of another Saudi, when he shot him during an argument. The court left the door open for a...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
wakuu habari za majukumu, kuna ndugu yangu amepatwa na kesi ya mauaji ila kwa mujibu wa maelezo yake anasema siku ya tukio yeye alikuwa mkoa mwingine kikazi, kwa sasa huyo ndugu yangu anashikiliwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Je,katika sheria ya kazi nchini Tanzania kumetajwa muda maalum wa 'probation period' kabla ya kutia sahihi mkataba wa kazi? Kama 'ndio,' ni muda gani? Nakushukuru kwa kupita hapa. A Father.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu mimi nina mke tuliedumu naye kwenye ndoa kwa muda wa mwaka wa 6 sasa na ndoa yetu tuliifunga kanisani. Lakini sasa ndoa imefikia mahali haiwezi tena kuendele baada ya juhudi...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
wakuu habari za majukumu, kuna ndugu yangu amepatwa na kesi ya mauaji ila kwa mujibu wa maelezo yake anasema siku ya tukio yeye alikuwa mkoa mwingine kikazi, kwa sasa huyo ndugu yangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba nitoe rai yangu katika jukwaa la sheria kwa kutaka kujua sheria ya tanzania inasemaje kuhusu vyama vya kisiasa kuandaa vijana kwa kuwalinda viongozi wao(kama wao wanavyodai) kwangu mi naita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Kwa mara ya Kwanza ndani ya JF, naomba mnieleweshe juu ya Ongezeko la Serikali Kuu katika kila sekta, Mi niko Sekta ya Madini, Nafanya kazi katika Kampuni moja ya Kuchimba Dhahabu Kahama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kijana anaishi na mama yake temeke so,mama na baba yake walichana miaka mitano iliyopita sasa huyu kijana toka wazazi wake waachane hakuna malezi anayoyapata kutoka kwa baba mpaka kufiki...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Mahakama ya Mkoa wa Lindi Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imewahukumu majambazi sugu wanne, wakazi wa jijini Dar es Salaam kifungo cha jumla ya miaka 240 baada ya kupatikana na makosa ujambazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom