Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili. Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati...
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza...
2 Reactions
6 Replies
461 Views
Wana Bodi, Kwanza nikiri mimi si Mwanasheria. Nimekutana na jambo la fumanizi katika mazingira tofauti na kuona watu wakiadhibiwa, wakiaibishwa na kulazimishwa kuingia katika mikataba mbalimbali...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa...
2 Reactions
0 Replies
370 Views
Nimetembelea bonde la Ngorongoro mara kadhaa na kuona wanyama pori wengi ndani ya kama shimo hivi, inavutia sana na kushangaza. Lakini nimeona pia na makundi ya ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo...
1 Reactions
3 Replies
706 Views
KURUDISHA ZAWADI. Kifungu cha 71 cha Sheria ya ndoa kinasema kuwa mtu anayo haki ya kufungua shauri kudai kurejeshewa zawadi ambazo alizitoa kwa mtu ambaye alikuwa ana ahadi ya kufunga naye ndoa...
4 Reactions
7 Replies
675 Views
Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa...
2 Reactions
1 Replies
386 Views
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
“A Pillar of Fairness and Trust” Introduction During the swearing-in ceremony for newly appointed government officials, President Hon. Samia Suluhu Hassan emphasized the significant...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba...
0 Reactions
4 Replies
653 Views
Mnamo tarehe 26 Juni 2024, Mwanasheria Mkuu aliwasilisha mswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali Na. 2 ya 2024, ambao umefanya marekebisho kadhaa ya sheria, lakini kinachovutia zaidi kwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi. 1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani? 2...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikiona hili neno hasa kwa wale wanao chukua degree katika sheria..likiwa ni jina na kitivo chao. Swali langu ni juu ya kirefu cha LLB, na origin ya neno hilo. Naomba msaada.
2 Reactions
199 Replies
24K Views
Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI...
4 Reactions
2 Replies
938 Views
Habari za humu ndani wakuu? Hope you are good. Wataalamu nina tatizo ambalo nahitaji ushauri au mtu yoyote mwenye uelewa hili suala tunaweza kulisolve vipi. Ipo hivi.. Kuna mtu nilifanya naye...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia...
3 Reactions
5 Replies
776 Views
Habari zetu wote? Ni utaratibu upi wa kufuata ukitaka kumpeleka mtu mahakamani (kumshtaki)? Ni lazima uanzie kituo cha polisi au? Msaada tafadhali
2 Reactions
11 Replies
764 Views
Habari waungwana, Kuna jamaa yangu fulani anatuhumiwa kutenda kosa la kumshambulia mtu ambaye ambaye walizozana kidogo. Shida imekuja kuwa anaendelea kushikiliwa kituo cha Polisi huku suala la...
0 Reactions
4 Replies
795 Views
“A CALL TO ACTION FOR TAX DISPUTE RESOLUTION” President Samia Suluhu Hassan has been steadfast in her commitment to economic growth and stability for Tanzania. During a recent event in Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…