Jukwaa la Historia

On JF:

Huyu ni mmoja wa wakuu wa vikosi vilivyopigana vita vya Kagera. Kwa miaka mingi walikuwa wakitaka wakuu wa brigedi zilizopigana vita vya Kagera, lakini ndani ya brigedi hizo kulikuwa na vikosi...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)? Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Sijali Sijaona anamzungumza baba yake. SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi. Kizimkazi jina linamanisha katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes. Angalia video...
4 Reactions
2 Replies
578 Views
Mtu unayemzungumzia ni D.B. Cooper, jina la kufikirika alilopewa na vyombo vya habari, ambaye alihusika na tukio maarufu la utekaji nyara wa ndege mnamo mwaka 1971. Tukio hili limebaki kuwa moja...
5 Reactions
8 Replies
905 Views
Habari zenu wakuu. Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika...
25 Reactions
131 Replies
23K Views
Je unafahamu kua nchi hizi mbili zilishawai kupigana vita??? Nani alishindwa?? Je nchi hizi zitakuja zitapigana tena?? Upi utakua mwisho wa hizi nchi mbili hapa Africa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wa humu JamiiForums. Kulikuwa na uhalali gani wa Chief Mkwawa kutambulika kama "shujaa"? Kamwe hakuna askari anayeweza kuitwa shujaa kwa kuogopa adui kisha kujiua...
13 Reactions
151 Replies
20K Views
Kichapo walichochezea hakikuwa cha Kawaida; mnamkumbuka Muhammad Zia-Ul-Haq wa Pakistan, wakati huo alikuwa Brigadier akiwa huko jordan kuanzia 1967 na mwaka huo 1970 aliisaidia serikali ya jordan...
1 Reactions
0 Replies
347 Views
HISTORIA YA KANISA KATOLIKI TANZANIA Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili KANISA Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili Kanisa lililo hai ni...
3 Reactions
5 Replies
19K Views
Ni hivi, watu hawa wawili ni miongoni mwa viongozi maarufu zaidi katika orodha ya Marais wa Marekani. Abraham Lincoln na John F. Kennedy kila mmoja aliongoza Marekani na kupitia baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Miaka mia iliyopita kuna mpiga picha maarufu kule urusi aliitwa Karl Bulla alizaa mtoto naye akarithi fani ya baba yake ya photo journalism akiitwa Viktor Bula. Sasa huyu Viktor Bulla maudhui ya...
4 Reactions
11 Replies
864 Views
BURIANI MOHAMED MRISHO Kifo hakizoeleki. Taarifa ya kifo cha Mohamed Mrisho nimekisoma kutoka ukurasa wa Vuli Yeni akiandika kutoka Johannesburg. Sijui hata nianzie wapi. Mohamed Mrisho alikuwa...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
WAIRAQ au Wairaki ni kabila kubwa linalozungumza lugha jamii ya Wakushi na linalopatikana Mkoa wa Manyara wilaya za Mbulu, Babati, Hanang na Mkoa wa Arusha katika wilaya ya Karatu. Watu wa kabila...
15 Reactions
77 Replies
29K Views
Hii ni simulizi nzuri kuhusu vita vya kukomboa kisiwa cha Anjouan toka mikononi mwa waasi. Majeshi yetu yalikuwa chini ya uongozi wa Brigedia Jenerali Daniel Igoti ambaye alikuwa akisaidiwa na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…